Serikali ya awamu ya Sita inanuka damu za Watoto wetu
Nimewaza sana.
Yaan mtu ghafla tu unageuka na kuanza kuishi maisha kama Vampire. Wewe sehemu salama kwako ni kipindi cha Giza nene tu lisilo na moto mkali au Mwanga wa Jua kali. Nimejaribu kuwaza zaidi. Hivi Mwenyezi-Mungu, Mungu muumbaji wa vyote kwa wanaoamini na wasioamini pia yeye ndie aliewa-create wanaomwamini na wasiomwamini kawaumba yaan hata hio vyote ameiumba yeye mwenyewe (hapo hata usinibishie), alituwekea Melanin akijua kwamba itatusaidia kipindi cha jua kali ni km sunlight UV rays protection, sasa inakuaje mtu ana Melanin lakini mwanga wa jua unamuunguza balaa mwisho anaanza...