Monica Mgeni
Member
- Oct 7, 2021
- 82
- 134
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video tamu Sana.Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii
Serikali hii lazima ichukue hatua ,hii sio awamu ya 5 ambapo akina kigwangala na Tanapa walipiga pesa kwa vikao na safari za kubumba za mamilion kwa mamilooni na hawakuchukuliwa hatua yeyote.Watoto wakimchukia mzazi, hata akiwabembeleza na Kuwalambisha asali, mioyo yao ni vigumu kumwamini tena mzazi wao
MsD imenunua kidonge cha 4000 kwa milioni mia na therathini na mbili
Sosi, SAG
Tanesco inaagiza nguzo nje ya nje!
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii