Monica Mgeni Member Joined Oct 7, 2021 Posts 82 Reaction score 134 Apr 13, 2022 #1 Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii Attachments Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais @samia_suluhu_hassan imeendelea kutekeleza mira...mp4 8.9 MB
P Paulsylvester JF-Expert Member Joined Oct 15, 2021 Posts 1,464 Reaction score 3,379 Apr 13, 2022 #2 Watoto wakimchukia mzazi, hata akiwabembeleza na Kuwalambisha asali, mioyo yao ni vigumu kumwamini tena mzazi wao MsD imenunua kidonge cha 4000 kwa milioni mia na therathini na mbili Sosi, SAG Tanesco inaagiza nguzo nje ya nje!
Watoto wakimchukia mzazi, hata akiwabembeleza na Kuwalambisha asali, mioyo yao ni vigumu kumwamini tena mzazi wao MsD imenunua kidonge cha 4000 kwa milioni mia na therathini na mbili Sosi, SAG Tanesco inaagiza nguzo nje ya nje!
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Apr 13, 2022 #3 Monica Mgeni said: Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii Click to expand... Video tamu Sana.
Monica Mgeni said: Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii Click to expand... Video tamu Sana.
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Apr 13, 2022 #4 Paulsylvester said: Watoto wakimchukia mzazi, hata akiwabembeleza na Kuwalambisha asali, mioyo yao ni vigumu kumwamini tena mzazi wao MsD imenunua kidonge cha 4000 kwa milioni mia na therathini na mbili Sosi, SAG Tanesco inaagiza nguzo nje ya nje! Click to expand... Serikali hii lazima ichukue hatua ,hii sio awamu ya 5 ambapo akina kigwangala na Tanapa walipiga pesa kwa vikao na safari za kubumba za mamilion kwa mamilooni na hawakuchukuliwa hatua yeyote.
Paulsylvester said: Watoto wakimchukia mzazi, hata akiwabembeleza na Kuwalambisha asali, mioyo yao ni vigumu kumwamini tena mzazi wao MsD imenunua kidonge cha 4000 kwa milioni mia na therathini na mbili Sosi, SAG Tanesco inaagiza nguzo nje ya nje! Click to expand... Serikali hii lazima ichukue hatua ,hii sio awamu ya 5 ambapo akina kigwangala na Tanapa walipiga pesa kwa vikao na safari za kubumba za mamilion kwa mamilooni na hawakuchukuliwa hatua yeyote.
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Apr 13, 2022 #5 Nimeona mabango mengi chalinze yameandikwa mama anaupiga mwingi, nikamkuta profesori lipumba naye anasema mama anaupiga mwingi nini tafsiri yake Monica Mgeni said: Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii Click to expand...
Nimeona mabango mengi chalinze yameandikwa mama anaupiga mwingi, nikamkuta profesori lipumba naye anasema mama anaupiga mwingi nini tafsiri yake Monica Mgeni said: Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan imedhamiria. Tazama video hii Click to expand...
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Apr 13, 2022 #6 πππ Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
πππ Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.