Serikali ya Brazil na Marekani zilivyoficha Siri ujio wa Aliens

Mambo ya aliens yanachanganya, ni rabbit hole kubwa sana....

Sema mimi naamini kwa ukubwa wa ulimwengu huu, haiwezekani kwamba hakuwahi kuwa au kuna au kutatokea viumbe wenye akili kama sisi au zaidi
Nadhani washaanza kutokea kama Elon Musk
Ni mmoja wa Alliens. Kwa sababu hata mtoto wake aliyekufa alikuwa na jina la Nevada ambako ndio aliens 👽 wanaishi uko A51
 
Ya leo hata Sukari haina
 
Movie gani?
 
Kama vyombo vya hao aliens vinaanguka hivyo, basi hao aliens ni boya tu. Halafu, iweje serikali kuficha hivyo na kuchimba mkwala kama haya sio madude yao!
 
Aliens ni wengi sana duniani na wengi wengine ni feki.
Hatukuumbwa pekeetu, tuwache ubaguzi.
 
Mambo ya aliens yanachanganya, ni rabbit hole kubwa sana....

Sema mimi naamini kwa ukubwa wa ulimwengu huu, haiwezekani kwamba hakuwahi kuwa au kuna au kutatokea viumbe wenye akili kama sisi au zaidi
Mkuu hii dunia wanasema NI ya mzungu lakini kila nikichekecha kichwa mzungu hawezi gundua vitu vyote hivi kwa ajili zake binafsi lazma Kuna master mind nyuma wanamsaport wakiwemo hao allien
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…