Serikali ya Brazil na Marekani zilivyoficha Siri ujio wa Aliens

V
Kama tetesi za kuonekana kwa hao aliens na vyombo vyao zingekuwa za kweli basi hata huku Afrika hivyo vyombo tungeviona,yaani vinatokwa kwao tu?
ilitokea Zimbabwe nadhani,ilikua na tabia Kama lile la uingereza
 
Wanaishi wapi?
Dzain wanatoka anga za mbali au tunaishi nao,Kuna taarifa za wao kuishi ardhini,maana Kuna sehemu walisikia Kama drilling kiasi meno yakawauma,mwamba usiku akapiga yowe,vikamjia,vikamuuliza mbona unapiga yowe,na Kuna matukio ya vyombo kuibuka toka majini baharini na kupotelea angani,nenda YouTube utakuta jeshi la wanamaji Us walipata picha ya chombo kikifanya hovering juu ya maji Kisha kikapotelea humo ghafla
 
Tupe source na sisi tukasome
 
Kamba za wa america hizo hawana uthibitisho
 
Tupe source na sisi tukasome
Angalia history channel na national geographic,huonesha Sana,au anzia major Marcel UFO, death bed UFO confession utakutana na mjeda wa UK akitoa la rohoni alipokaribia mauti
 
Back
Top Bottom