Bado jiwe
Siku ikitokea Tanzania , nitafanya sherehe kubwa sana
USIPOSEMA KWA WENZIO WATAKUSEMEA KWAKOHuyu aliwatesa na kuwauwa sana wapinzani wake wa kisiasa. Nafsi yangu inasita kusema R.I.P
USIPOSEMA KWA WENZIO WATAKUSEMEA KWAKO
Wamarekani wanafanya sana masihara na corona, wanakusanyana na kufanya maandamano huku wakiwa hata barakoa hawajavaa.Kuna mtu bado anafanya masihara na Covid 19.
Bado na Trump maana alizarau corona.Walioidharau Corona cha moto watakiona. Kiongozi wa milele wa chama huyo!Nina imani Corona imekuja kupunguza udhalimu Afrika