Muulize huyo.....Na wewe ni mrundi kama Zitto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize huyo.....Na wewe ni mrundi kama Zitto?
Alikua dictotar mpole,,hajauwa sana yule,sema tamaa ya madaraka ilitaka kuzidi,,kama siyo wamarekani kumwekea kauzibe,angejuongezea miaka 20 ya kutawala
Kule Brazil Mungu atende na regime iondokemadaraka ameyaacha na kifo. Mungu tenda tena, tenda tena, tenda tena!
Halafu hata mda wa kuficha pesa nje hawajapata aisee,au Siri za mzee wafichaje pesa.Uenda akakata Moto kwa mstuko.
Alijifichia kwenye ulokole huku akiwa silent killing machine.Alikua dictotar mpole,,hajauwa sana yule,sema tamaa ya madaraka ilitaka kuzidi,,kama siyo wamarekani kumwekea kauzibe,angejuongezea miaka 20 ya kutawala
If you need to feel better go for itWe are all losers
Tenda Bwana Yesu, tenda Brazil kama ulivyotenda Burundi, Tenda Mungu tenda! Tenda na popote penye udhia Tenda Bwana Yesu! Tenda!Kule Brazil Mungu atende na regime iondoke
Kuua ni kuua hata kama mmoja ni muuajiAlikua dictotar mpole,,hajauwa sana yule,sema tamaa ya madaraka ilitaka kuzidi,,kama siyo wamarekani kumwekea kauzibe,angejuongezea miaka 20 ya kutawala
Corona hiyo. Bado Magufuli. Corona inapenda wanaojimwambafai eti haipo. Corona ipo.
Mkorofi mwingine ni wewe
Pole sana mkuu,Museveni namuombea sana afya njema kwa kuonyesha strong leadership kwenye janga hili la Corona ila yule mkaidi wa TZ namuombea corona ipige hodi mlangoni kwake
Al bashiri, Sadam husein, Osama bn ladeni nk vipi. Udini unatupotezea muda jadili jambo kiutu uzimaJamaa alijifichia kwenye uchungaji wa kilokole Kama alivo bashite ukimkuta anapiga injili utasema Ndie Yesu wa Nazareth wanapiga injili badalaa.
Nashangaa kwann madikteta wengi ni Wakristo 90% je viongozi wa dini ya Kikristo ni wanafiki uruhusu nyumba zao za ibada kuchezewa au ni waoga.Vipi mafunzo ya uislam yanachoma Hadi angalau hawana watawala madikteta wengi Kama sie Wakristo?
Sasa Hiki kipindi wawe makini sana na PK...
Anainyemelea sanaa hii nchi...
Hivi huyu jamaa mpya ni Mtutsi au?
Maana PK ndio hamu yake.
Ass comment.Mkewe yuko huku Kenya tunamtibu corona, poleni RIP in peace ila nakumbuka alikua mkaidi kwenye suala la corona, isiwe ndio imemlamba.