secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ebana ni kweli ama mnaleta story zenu za vijiweni!?Aise kifo Kweli kiboko ya mwanadam
Kifo kina siri nyingi mno
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebana ni kweli ama mnaleta story zenu za vijiweni!?Aise kifo Kweli kiboko ya mwanadam
Kifo kina siri nyingi mno
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mkuu unazifahamu nchi za Kiislam au la?Jamaa alijifichia kwenye uchungaji wa kilokole Kama alivo bashite ukimkuta anapiga injili utasema Ndie Yesu wa Nazareth wanapiga injili badalaa.
Nashangaa kwann madikteta wengi ni Wakristo 90% je viongozi wa dini ya Kikristo ni wanafiki uruhusu nyumba zao za ibada kuchezewa au ni waoga.Vipi mafunzo ya uislam yanachoma Hadi angalau hawana watawala madikteta wengi Kama sie Wakristo?
Kwa amani kumejaa ajaribu kwa upendo.Duh. Apumzike kwa amani
Ishu sio demokrasia ishu ni misingi ya haki.Mkuu unazifahamu nchi za Kiislam au la?
Sudan, Misri, Libya, Algeria, Syria, Algeria n.k
Yaani hivi kuna nchi ya Kiislam ya kidemokrasia unavyoifahamu?
Burundi wanapima COVID-19 mkuu?Chanzo cha kifo ni mshtuko wa moyo.
Kama huamini unaweza tunga sababu yako pia.
Definitely ni corona, acha imuondoe maana aliikejeli sana . Mikutano ya kampeni iliendelea kama kawaida as if hakuna tatizo na corona virus! Wengine wajifunze, wakorofi kama yeye1Mkewe mpaka Sasa bado Yuko Agakhan hospital pale Nairobi anaitibiwa corona baada ya kuzidiwa akiwa huko kwao Burundi.
Kama mkwewe waliokuwa wanalala kitanda kimoja Yuko hoi kwa corona, yeye alisalimika kweli? Au ndio chanzo Cha kifo chake?
Wajuzi wa duru za kimataifa nifahamisheni...nilikuwa nimeanza kupuuzia huu ugonjwa ili nianze kuelekeza nguvu upya za kujikinga.
Haisaidii,nakeleka sana na watu wanaojifanya wema,unadhani ukimtakia Rip yako itabadili maamuzi ya muumba wake? Nyie watu mnaoichukulia dini juu juu mnashida sanaHuyu aliwatesa na kuwauwa sana wapinzani wake wa kisiasa. Nafsi yangu inasita kusema R.I.P
Unadhani wote humu ni school dropout? wasiojua lolote la epidemiology of infectious diseasesChanzo cha kifo ni mshtuko wa moyo.
Kama huamini unaweza tunga sababu yako pia.
Hivi Burundi wanapima COVID-19 kweli?Definitely ni corona, acha imuondoe maana aliikejelisana . Mikutano ya kampeni iliendelea kama kawaida s if hakuna tatizo na corona virus! Wengine wajifunze, wakorofi kama yeye1