Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Taarifa rasmi ya serikali ni kwamba amefariki kwa ugonjwa wa moyo. Kwa lugha ya Malkia Elizabeth wa Uingereza wanasema "heart attack" .
Lakini kama unavyojua sisi Waafrika tunapenda kuficha ukweli.
 
Bado nani?
Definitely ni corona, acha imuondoe maana aliikejelisana . Mikutano ya kampeni iliendelea kama kawaida s if hakuna tatizo na corona virus! Wengine wajifunze, wakorofi kama yeye1
 
Magonjwa yote huua kupitia kwenye "cardio-pulmonary arrest. Uwe ugonjwa wa moyo, corona, kukanyagwa na gari, ukiangalia kwenye cheti cha kifo utakuta imeandikwa "cardio-pulmonary arrest". Hiyo haina maana kuwa hakuwa na corona.
Ripoti ya madaktari ni mshituko wa moyo siyo corona
 
Magonjwa yote huua kupitia kwenye "cardio-pulmonary arrest. Uwe ugonjwa wa moyo, corona, kukanyagwa na gari, ukiangalia kwenye cheti cha kifo utakuta imeandikwa "cardio-pulmonary arrest". Hiyo haina maana kuwa hakuwa na corona.
Sisi si kisiwa wanasiasa Wana ajenda zao
 
Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana !
 
Unadhani wote humu ni school dropout? wasiojua lolote la epidemiology of infectious diseases
Kama vile wewe ndo ulimhudumia kipindi anaumwa.Kwamba heart attack inayoua zaidi watu Africa na entire world imeacha kuua! Halafu ukute unakisia kisia tu,uhakika huna!
 
Mzee wa jirani mkaanga samaki wa maji ya sumu zilikuwa haziivi.
 
LAYMAN POINT OF VIEW
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…