Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Taarifa rasmi ya serikali ni kwamba amefariki kwa ugonjwa wa moyo. Kwa lugha ya Malkia Elizabeth wa Uingereza wanasema "heart attack" .Mkewe mpaka Sasa bado Yuko Agakhan hospital pale Nairobi anaitibiwa corona baada ya kuzidiwa akiwa huko kwao Burundi.
Kama mkwewe waliokuwa wanalala kitanda kimoja Yuko hoi kwa corona, yeye alisalimika kweli? Au ndio chanzo Cha kifo chake?
Wajuzi wa duru za kimataifa nifahamisheni...nilikuwa nimeanza kupuuzia huu ugonjwa ili nianze kuelekeza nguvu upya za kujikinga.
Lakini kama unavyojua sisi Waafrika tunapenda kuficha ukweli.