aimi lyatuu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 742
- 796
Rais wa burundi kafa majuzi lakini jana na leo watu hawako na habari kabisa ni kama kafa mtu toka buza kwa mama boge
Mbona corona ilikuwa big deal hadi wale wasoma comment waliandika nyuzi tatu tena zenye wachangiaji wengi. Ila la huyu kiongozi mkuu wa nchi watu wamesusa kuchapa nyuzi
Hili limesababiswa na nini??!
Mbona corona ilikuwa big deal hadi wale wasoma comment waliandika nyuzi tatu tena zenye wachangiaji wengi. Ila la huyu kiongozi mkuu wa nchi watu wamesusa kuchapa nyuzi
Hili limesababiswa na nini??!