Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Kuna tetesi kwanza aliyekuwa Rais wa Burundi inasemekana amefariki kwa covid 19, Na mkewe pia yupoNairobi akitibiwa ugonjwa wa covid 19 .Ikumbukwe kwamba Nkurunziza aliwafukuza wasimamizi wa kimataifa walipohoji kwa Nini wanafanyq Uchaguzi kipindi cha mlipuko wa ugonjwa wa covid 19
Bado mpuuzi mmoja tu nae covid19 itapita nae[emoji3]
 
Kwani Corona ina tiba?. Na jee Kenya wamepata wapi mashine za kuaminika kupima corona.
Watu wengi wanaotajwa kufa kwa corona huwa wamekufa kihoro cha kuambiwa wanao au jirani yake anao.Ndio maana mabeberu wanahimiza sana kupima watu kwa wingi kwa vijiti vyao vyenye majibu ya corona ili watu wazidi hofu.
Mbona Nkurunziza alikataza kupima na kaondoka na Covid-19, hofu ilitoka wapi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom