Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Acha afe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana hiyo familia yote ya Nkuruzinza imeambukizana 'heart attack'.Wanasema chanzo chakifo ni heart attack na sio corona 🤔
Hiyo ni sayansi au imani kwamba ukidharau ndio vinakuuwa? Nakwambia waziri mkuu wa uingereza hakudharau ila imempiga nusu ya kufa ila Trump kadharau na anadunda hadi sasa.Muulize Nkurunzinza atakwambia amejifunza nini kwa kudharau virus pandemic!
Kiongozi mwingine kule PORTLAND alimshukuru baba mchungaji kwa kutokuvaa barakoa na akawapa big up waumini kwa kutokuvaa pia,siku nyingine akasema barakoa inafanana na titi lililokatwa.Mke wake anajipambania uhia Kenye na wanalala kitanda kimoja. Ni corona per se! Mawazili kumi nao wako hoi! Walikuwa hawachukui tahadhali kwa kumsikiliza ujinga wake (of course ni unafiki wa matumbo yao)
Mtu anamsema mwenzie kwamba bora alivyokufa na aende motoni kwa sababu alikuwa dikteta ila yeye mabaya anayoyafanya mafichoni watu hatuyajui na hivyo hatujui kwa hayo wanayoyafanya wanafaa kuwepo duniani au nao bora wafe wakachomwe moto.Kujifunza kuhusu kufaaa au kuhusu namna mtu aweze kutumikia Taifa lake?
Kama ni kujifunza kuhusu kifo,. Ni kujadiri kitu kilichojuu ya uwezo wetu!
Punguzeni ujinga, kwani hata atakayetoa somo hili naye hawezi kuepuka kifo, hawezi kuzisogeza Mbele siku zilizoamuliwa Kwa kufa kwake,
Huyo hakuwa mwanasoka maana corona inakaa mbali kabisa wanasoka?Huyu PN si alikua mwanasoka wa Haleluya Fc
It is science, alidharau and unfortunately other epidemiological factors zikawa against him na amekwenda na maji!Hiyo ni sayansi au imani kwamba ukidharau ndio vinakuuwa? Nakwambia waziri mkuu wa uingereza hakudharau ila imempiga nusu ya kufa ila Trump kadharau na anadunda hadi sasa.
Only God knows maana mtoto wa Mbowe alipata ila Baba mtu hakupata.... huyo mteule mwenyewe yuko salama? Maana kipindi chote cha kampeni na logistics nyingine za uchaguzi alikuwa pamoja na marehemu. To what extent he is safe only God knows.
Aendelee na mzaha, itamuondoa maana the virus is still circulatingKiongozi mwingine kule PORTLAND alimshukuru baba mchungaji kwa kutokuvaa barakoa na akawapa big up waumini kwa kutokuvaa pia,siku nyingine akasema barakoa inafanana na titi lililokatwa.
Ndio na mm niko najiuliza hapa ni nn hiki 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 this is African wanaona ni shame kusema kuwa Mr P amekufa kwa COVID.Inaonekana hiyo familia yote ya Nkuruzinza imeambukizana 'heart attack'.
Everyday is Saturday........................... 😎
Kuna watu wakifa unashukuru Mungu maana maisha ya wengine yanapona..Unashangilia kwa mtu kukutwa na kitu ambacho na wewe lazima kikukute na hujui lini, sasa hivyo si vituko?
HahahahaHuyo hakuwa mwanasoka maana corona inakaa mbali kabisa wanasoka?
Wakati ugonjwa upo China Trump alidharau na baada ya muda ukaingia nchini kwake na watu wake wamepukutika vya kutosha kwa virusi alivyovifanyia mzaha rais wao, sasa hivi yeye anajimezea midonge tu pasina ushauri wa daktari. Corona ikimuacha huyo mtu haitokuwa haki,hasa ukizingatia raia wake wako barabarani wamekusanyana tena bila barakoa wala tahadhari zozote za kujikinga na corona hivyo ni suala la muda tu kuona maiti barabarani.It is science, alidharau and unfortunately other epidemiological factors zikawa against him na amekwenda na maji!
Trump hakudharau, he was exercising strict social distancing though he did not wear a mask! and may be immunity and other epidemiological/biological factors favoured him. Boris with his age some biological factors inherent in him saved his day!
Anazunguka tu..anachokitaka ni MAGUFULI afe kwa covid 19 ili unabii utimie!Hiyo ni sayansi au imani kwamba ukidharau ndio vinakuuwa? Nakwambia waziri mkuu wa uingereza hakudharau ila imempiga nusu ya kufa ila Trump kadharau na anadunda hadi sasa.
Mkuu watu humu hatukujui sasa tutajuaje kama nawe unauwa watu au kutesa watu au pengine unamkosea Mungu kwa makosa yenye adhabu za kifo? Ndio maana tunasema tusihukumu.Kuna watu wakifa unashukuru Mungu maana maisha ya wengine yanapona..
Sote tutakufa, hata mimi ikitokea nikaanza tabia ya kuua Binadamu wengine na kujiona Mungu MTU, ni vizuri nikafa tu haraka ili roho za wengine zipone..
Covid-19 ni noma! Inakulia timing ikikupata inakuniga koo mpaka kinyesi ikutoke.Kuna tetesi kwanza aliyekuwa Rais wa Burundi inasemekana amefariki kwa covid 19, Na mkewe pia yupoNairobi akitibiwa ugonjwa wa covid 19 .Ikumbukwe kwamba Nkurunziza aliwafukuza wasimamizi wa kimataifa walipohoji kwa Nini wanafanyq Uchaguzi kipindi cha mlipuko wa ugonjwa wa covid 19
Sasa fikiria sie tunamkosea kiasi gani Mungu ila bado ndio kwanza anaendelea kutupa pumzi, sasa tizama sie wenyewe tunavyotakiana mabaya!Anazunguka tu..anachokitaka ni MAGUFULI afe kwa covid 19 ili unabii utimie!