kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,414
Tena maskini Jana tu nilisikiliza sijui idhaa gani walisema kuwa kwa ilivyofanyiwa marekebisho katiba yao,rais huyo hata kama amestaaf bado atabaki kuwa kiongozi, maskini dah kuna sheria pia ilipitishwa kuwa akistaf anachukua mpunga Wa nguvu, yoote imebaki historia, huzuni sana.