aimi lyatuu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 742
- 796
Hahaa haaa na wewe kwa kulinganisha mambo? Nkurunzinza alikuwa anadharau corona na kuficha takwimu hadi alipokufa inasemekana alikuwa anaugua changamoto ya kupumua. Mke wake naye yupo hoi Nairobi. Pia alifukuza wafanyakazi wa shirika la afya duniani. Na pia alitawala kwa mkono ya chuma.Rais wa burundi kafa majuzi lakini jana na leo watu hawako na habari kabisa ni kama kafa mtu toka buza kwa mama boge
Mbona corona ilikuwa big deal hadi wale wasoma comment waliandika nyuzi tatu tena zenye wachangiaji wengi. Ila la huyu kiongozi mkuu wa nchi watu wamesusa kuchapa nyuzi
Hili limesababiswa na nini??!
Marais wa Afrika ni vibaka wakifa ni kuwasahau chap! Hata yule wa nchi ya asali na maziwa atakapokufa kwa Corona pia ni kumsahau chap
Corona imekuja kusaidia kuondoa udhalimu Afrika, siku zake zinahesabikaMie naamini hiyo siku ipo na si mbali!
Sijui wkt wa Kampeni watapiga huku wamevaa barakoa au nao wataendelea kushikana mikono na wananchi kama vile Pierre.Mie naamini hiyo siku ipo na si mbali!
Sijui wkt wa Kampeni watapiga huku wamevaa barakoa au nao wataendelea kushikana mikono na wananchi kama vile Pierre.
Hata haki hakuna, hivi unajua nchi za Kiislam zilikataa ile Universal Declaration of Human Rights wakaja na ya kwao?Ishu sio demokrasia ishu ni misingi ya haki.
Angalau sheria zao zina hakiHata haki hakuna, hivi unajua nchi za Kiislam zilikataa ile Universal Declaration of Human Rights wakaja na ya kwao?
ukibadili Dini ya Kiislam kwenda nyingine Ni kufuru na adhabu yake Ni kifo, hizi ndio Sheria za haki?Angalau sheria zao zina haki
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
===
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.
Imeelezwa alilazwa Hospitali Jumamosi na alikuwa anaendelea vizuri hadi Jumatatu ambapo hali yake ilibadilika ghafla na jitihada za madaktari kuokoa maisha yake hazikufanikiwa.
Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 (takribani miaka 15) hadi mauti ilipomfika.
Serikali imesema kutakuwa na kipindi cha maombolezo ya kitaifa kwa siku saba na bendera zitapepea nusu mlingoti.
You don't know anything about him. I m sorry to say. Witnessing him worshipping at Kakobe's church is not a criteria of judging his leadership in his country. But for the people who witnessed Burundi before him and Burundi now can understand what I am talking about.
Sasa kwanini waliokuwa wananchi wake walikuwa wanafurahia kifo chake alafu kila kitu Kibaya kuseme mabeberu sio Sawa