Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
June 9, 2020
Paris, France

RIP Pierre Nkurunziza kituo nguli cha television ya Ufaransa FRANCE 24 kimenukuu twitter rasmi ya serikali ya Burundi amefariki - 'shambulizo la moyo'..

Burundi's President Pierre Nkurunziza has died at the age of 55, June 9 2020. REUTERS - Siboniyo Guy-Clovis of heart attack
https://www.france24.com › 20...
Burundi's President Pierre Nkurunziza has died ... - France 24

6 minutes ago · The government statement said that Nkurunziza had died of a 'heart attack'....
Source: France 24

Kutoka maktaba
May 14, 2015
Dar es Salaam, Tanzania
VIONGOZI WA AFRIKA MASHARIKI WALAANI JARIBIO LA MAPINDUZI NCHINI BURUNDI
Soma Hali Tete : sakata zima la May 2015 la kumrudisha Pierre Nkuruzinza toka Dar es Salaam baada ya jaribio la mapinduzi

HISTORIA PART II :
Jenerali Godefroid Niyombare aliyeongoza jaribio la Mapinduzi nchini Burundi mwezi May 14, 2015 akitoa tamko, wakati Pierre Nkurunziza akiwa Dar es Salaam

Historia part III :
Mojawapo wa maafisa wa juu wa jeshi Jenerali Leonard Ngendakumana hapo Julai 5, 2015 anaelezea sababu za kufeli jaribio la Mapinduzi hapo mwezi May 14, 2015


Source : KTN News Kenya

Historia Part IV :

Burundi’s former deputy Chief of Defence forces Brigadier General Jean Marie Ndayambaje granted interview on May 17, 2015

Source: Uganda NTV
 
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 55, baada ya kupata mshtuko wa moyo- hii ni kwa mujibu wa serikali ya Burundi
 
Warundi wamecheleshwa kufanya uchaguzi. Kumbe lilikuwa suala la muda
R.I.P
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…