Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Sifa za kiccm kiccm hizi, eti mtu poa, wakati kila mara ananadilisha katiba ya nchi kwa manufaa yake, achana na mauaji kwa wapinzani wake.
 
Sasa kwanini waliokuwa wananchi wake walikuwa wanafurahia kifo chake alafu kila kitu Kibaya kuseme mabeberu sio Sawa
Watu akili zenu sijui nani kawashikia, vyombo vya propaganda za mabeberu hizo ndo kazi zake, ukipiga kura leo hii JPM atashinda kwa zaidi ya asilimia 90%, piga kura za mitandaoni sasa ambako wamejaa walotumbuliwa wasio na kazi za kufanya na wenye chuki kwa mbinyo waloupata uone, ndo maana ukaambiwa kuna Dar ya Makonda na Dar ya mitandaoni, hizo ni Dar mbili tofauti sana.
 
Kumbe hata wewe unajua sana tu kuwa huku mitandaoni hampendwi kabisa nyiye......

Huko uraiani siyo kuwa mnapendwa, Bali mnatumia nguvu za dola muonekane mnapendwa........

Kama kweli mnajiamini kuwa mnapendwa kwa kiasi hicho, ni kwanini mnaiogopa Tume huru ya uchaguzi kama ukoma?

Hivi na nyinyi maccm hamuoni kuwa ni fedheha kushinda kwenye uchaguzi ulioendeshwa kwa njia haramu?

Hivi nyinyi mnaona huu wizi wa kura mnaoufanya kuwa sawa kweli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom