Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

Walioyakimbikiza malori yao nje waliona mbali mawe uogopa matajiri na wasomi
 
Wajamaa, madikteta na makomunist wote hawana confidence ya kuongoza wasomi na matajiri wanaumia Sana ni lzm wawafanye watu wawe masikini kimakusudi ili waweze kuwatawala.
Masikini huwa rahisi kumtawala kwani huwa ni rahisi kumbadilishia katiba na kutawala milele kubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kirahisi zaidi kuliko kuwa matajiri ambao huzuia uonevu wa Serikali za udikiteta
 
Any transaction in a bank should be wired to the economic intelligence unit at Central Bank. This may happen in any serious government geared to be free from ' bubble economy'!
 
Masikini huwa rahisi kumtawala kwani huwa ni rahisi kumbadilishia katiba na kutawala milele kubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kirahisi zaidi kuliko kuwa matajiri ambao huzuia uonevu wa Serikali za udikiteta
Masikini ni rahisi kumpropaganda kupitia tbcccm tumejenga kwa fedha zetu za ndani huku Deni la taifa linakua, masikini ni rahisi kushangilia ndege Hali ukoo mzima wachangishe still upati hata single journey nauli.
Masikini hawezi fikiria vyema zaidi ya kuwaza tumbo.Wajamaa, makomunist na madikteta uwapenda masikini coz hawana confidence ya kuongoza wasomi na matajiri.
 
BOT ndiyo Bank kuu sumbufu kuliko Bank kuu zote Duniani, wamepora pesa nyingi za wafanyabiashara walizotumiwa toka nje ndiyo maana watanzania wengi waliopo nje hushauri ndugu zao wafungue Account kenya Uganda ili wawatumie pesa huko kisha wanaenda kuchukua kidogo kidogo na maisha kuendelea
 
SGR inajengwa kwa pesa za ndani lakini ndiyo inaongoza kwa usumbufu kuwalipa makandarasi wazabuni na wafanyakazi na kuna ufisadi mkubwa mno na baadhi wamekwenda mahakani kushitaki kudai haki zao
 
hao wenye hizo fedha ni kina nani na wamezipataje?waumizaje wanyonge??
Ttzo sio kuzipata ttzo wamekiuka sheria ya kutakiwa kuishi kishetani.Mfumo wa ujamaa mtawaliwa hairuhusu kumiliki pesa au kuwa maarufu kuliko anaekutawala, ukikiuka hii kanuni ni lzm uhujumu uchumi ukuhusu.
 
Hata TRA ndipo hupenya na kuwabambikia kodi kubwa na kufunga Account zao kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
Hiki siyo kigezo cha kuwapora watu pesa zao kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani, watu wanalipa kodi pesa zao halali lakini bado TRA mnawabambikia VAT hewa kodi kubwa kufunga Account zao kihuni kwa Takwimu za kupika kutengeneza kihuni tu, acha kutetea wizi wa pesa za watu kwa visingizio vya kipumbavu
 

Wabunge mawaziri wakuu wa mikoa wilya wakurugenz wanatumia hzo kodi mbaya sana angalia magar ya m mia mbil na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…