minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Hufa pindi Account zao hufungwa kisha kutishiwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi ndipo hushikwa na heat attack pressure na kufa.Why matajiri wengi wamekufa awamu hii pendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hufa pindi Account zao hufungwa kisha kutishiwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi ndipo hushikwa na heat attack pressure na kufa.Why matajiri wengi wamekufa awamu hii pendwa
Walioyakimbikiza malori yao nje waliona mbali mawe uogopa matajiri na wasomiBank siyo mahala salama pa kuweka pesa tena kwani hata TRA vinara wa Rushwa huwafungia Account zao wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani, kuna mbinu mpya hufanywa na Baadhi ya mameneja wa Bank wasiokuwa waaminifu ambao huwapa siri za wateja wenye pesa nyingi kisha kutengeneza mazingira ya kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi, Benk zinaenda kufirisika kwani wafanyabiashara wakubwa sasa wamehamishia pesa zao kenya Uganda Zambia kusiko na usumbufu wa pesa za mtu
Masikini huwa rahisi kumtawala kwani huwa ni rahisi kumbadilishia katiba na kutawala milele kubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kirahisi zaidi kuliko kuwa matajiri ambao huzuia uonevu wa Serikali za udikitetaWajamaa, madikteta na makomunist wote hawana confidence ya kuongoza wasomi na matajiri wanaumia Sana ni lzm wawafanye watu wawe masikini kimakusudi ili waweze kuwatawala.
Any transaction in a bank should be wired to the economic intelligence unit at Central Bank. This may happen in any serious government geared to be free from ' bubble economy'!Bank siyo mahala salama pa kuweka pesa tena kwani hata TRA vinara wa Rushwa huwafungia Account zao wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani, kuna mbinu mpya hufanywa na Baadhi ya mameneja wa Bank wasiokuwa waaminifu ambao huwapa siri za wateja wenye pesa nyingi kisha kutengeneza mazingira ya kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi, Benk zinaenda kufirisika kwani wafanyabiashara wakubwa sasa wamehamishia pesa zao kenya Uganda Zambia kusiko na usumbufu wa pesa za mtu
Rip Mengi,Mfuruki,shamte,shubash.Hufa pindi Account zao hufungwa kisha kutishiwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi ndipo hushikwa na heat attack pressure na kufa.
Nenda kawakataze boss zako waache kuwapora matajiri pesa zao kwa njia haramu za kishetaniWalioyakimbikiza malori yao nje waliona mbali mawe uogopa matajiri na wasomi
ile pesa yake imechukuliwa na wajanja wachache kisha kuku anaanza moja kabsaLimemkuta Mr kuku pia, wakizichungulia tu watazipataje. Hii ni kagame style
Masikini ni rahisi kumpropaganda kupitia tbcccm tumejenga kwa fedha zetu za ndani huku Deni la taifa linakua, masikini ni rahisi kushangilia ndege Hali ukoo mzima wachangishe still upati hata single journey nauli.Masikini huwa rahisi kumtawala kwani huwa ni rahisi kumbadilishia katiba na kutawala milele kubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu kirahisi zaidi kuliko kuwa matajiri ambao huzuia uonevu wa Serikali za udikiteta
BOT ndiyo Bank kuu sumbufu kuliko Bank kuu zote Duniani, wamepora pesa nyingi za wafanyabiashara walizotumiwa toka nje ndiyo maana watanzania wengi waliopo nje hushauri ndugu zao wafungue Account kenya Uganda ili wawatumie pesa huko kisha wanaenda kuchukua kidogo kidogo na maisha kuendeleaUkishazoea tabia ya kuumiza watu Ili upate furaha baada ya kuwamaliza wa nje ni lzm utamaliza watoto wako wakiisha utajimaliza mwenyewe. Mawestone hawi na amani moyoni bila kuhakikisha wote wanakuwa zero kabisa. Matajiri wengi Sana wanakufa. Walioona mbali waliwahi mapema kuondoa pesa zao nje. Kuwekeza Africa ni risk Sana coz watawala wakishauwa uchumi kwa ujuaji ugeukia account za watu
SGR inajengwa kwa pesa za ndani lakini ndiyo inaongoza kwa usumbufu kuwalipa makandarasi wazabuni na wafanyakazi na kuna ufisadi mkubwa mno na baadhi wamekwenda mahakani kushitaki kudai haki zaoMasikini ni rahisi kumpropaganda kupitia tbcccm tumejenga kwa fedha zetu za ndani huku Deni la taifa linakua, masikini ni rahisi kushangilia ndege Hali ukoo mzima wachangishe still upati hata single journey nauli.
Masikini hawezi fikiria vyema zaidi ya kuwaza tumbo.Wajamaa, makomunist na madikteta uwapenda masikini coz hawana confidence ya kuongoza wasomi na matajiri.
Huo ndiyo ujinga mkubwa uliopo sasa ukianza huo upumbavu kuhoji pesa za watu ndipo Bank zitakosa wateja zitafungwa uchumi kuporomoka na kuwa kama Zimbabwehao wenye hizo fedha ni kina nani na wamezipataje?waumizaje wanyonge??
Ttzo sio kuzipata ttzo wamekiuka sheria ya kutakiwa kuishi kishetani.Mfumo wa ujamaa mtawaliwa hairuhusu kumiliki pesa au kuwa maarufu kuliko anaekutawala, ukikiuka hii kanuni ni lzm uhujumu uchumi ukuhusu.hao wenye hizo fedha ni kina nani na wamezipataje?waumizaje wanyonge??
Tajiri wa Tanzania mda wowote saa yeyote huwaza kuwa aweza kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi ndiyo maana wanakufa kwa pressureAlishasema wanao jiona malaika wataishi Kama mashetani 😂
Hata TRA ndipo hupenya na kuwabambikia kodi kubwa na kufunga Account zao kienyeji kwa njia haramu za kishetaniSi ajabu benki zote Nchini hutakiwa kila siku kupeleka Serikalini list ya wateja wote wenye akiba kuanzia milioni 100 kwenda juu ili ipange mikakati ya kupora asilimia kubwa ya pesa hizo au kukomba zote. Utabambikiwa kesi fake ili warahisishe dhulma yao. Tanzania si Nchi SALAMA.
Hata TRA ndipo hupenya na kuwabambikia kodi kubwa na kufunga Account zao kienyeji kwa njia haramu za kishetani
Hiki siyo kigezo cha kuwapora watu pesa zao kienyeji kishamba kwa njia haramu za kishetani, watu wanalipa kodi pesa zao halali lakini bado TRA mnawabambikia VAT hewa kodi kubwa kufunga Account zao kihuni kwa Takwimu za kupika kutengeneza kihuni tu, acha kutetea wizi wa pesa za watu kwa visingizio vya kipumbavuNimesoma comment nyingi na inaonekana mleta thread hii kafanikiwa kuwafanya wachungaji kuwa emotional.
Je tunafurahia watu wanaomiliki pesa bila takwimu sahii za mapato na Kodi?
Unatoa wapi pesa kihalali ili zijae tu banki? Acheni ujinga lipa Kodi
Wengi wanaolialia ni wezi , matepeli n wizi wakubwa. Fuateni njia halali na muwe bold kujustfy utajiri wenu
Tajiri wa Tanzania mda wowote saa yeyote huwaza kuwa aweza kubambikiwa kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi ndiyo maana wanakufa kwa pressure
Salaam Wakuu,
Nmeanza kuelewa kwanini Matajiri wengi wa Tanzania wanaficha fedha zao nje ya Nchi. Siwalaumu tena. Na kama hii hali ikiendelea, Benki nyingi zitatikisika kiuchumi kwani watu watasusa kupeleka hela.
Zamani Watanzania wengi walikuwa hawapeleki fedha zao benki. Walikuwa wanazichimbia mashambani na wengine kuzilalia kwenye Vitanda vya Kamba. Hii walikuwa wanafanya kwa kuhofia kunyang'anywa fedha zao na Serikali. Mabenki yalifanya Kampeni kubwa kuwabembeleza watu wapeleke fedha benki na Wakafanikiwa.
Hii hali sasa imerudi kwa kasi hivi Karibuni. Nini kinafanyika?
1. Wanafuatilia benki una kiasi gani, Wakikuta hela ni nyingi Wanazizuia, Ukienda kutoa hazitoki wanakuambia zinafanyiwa Uchunguzi.
2. Wanabuni mbinu watazipataje hizo hela, hivyo ramani inachorwa ya kuzipata kwa kuangalia makando kando yako. eidha unaweza ambiwa:
i) Unamiliki fedha zisizoendana na Kipato chajo
ii) Hujalipia kodi, au umepata kwa Udanganyifu.
3. Utakamatwa na kufunguliwa kesi isiyo na dhamana Uhujumu Uchumi.
i) Utakatishaji fedha
ii) Kuongoza genge la Uharifu
iii) Kukwepa kodi nk
4. Unalazimishwa uonge nao mfanye Makubaliano ni kiasi gani cha fedha utawapa ili Uachiliwe huru
5. Unalazimishwa ukiri kosa halafu Unapigwa faini na fedha zako zinachukuliwa. Faini haizidi fedha ulizo nazo, wanazijua hivyo wanajua utalipa tu.
Baada ya hapo Wanakuachia huru unaendelea na kazi zako. Unaanza upya kujitafutia kipato, kikiongezeka Mzunguko unaanza tena hapo kwenye maelezo namba moja.
Hakika aduni wa Mtanzania ni Mtanzania.
Hapa chini naweka Mifano Michache ya Watu waliochezewa hii style ya kunyang'anya watu fedha zao ukiachilia mbali Tariq Machibya maarufu Mr Kuku.
1. Mwandishi wa Habari za kiuchunguzi Ndugu Erick Kabendera
2. Aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea North Mara, Exploration na Bulyanhulu, Deogratius Mwanyika
3. Wafanyabiashara saba wa mafuta wakiwemo Wakurugenzi wa Kampuni ya SHIN UP Tanzania limited Zhang Zhi XIN, LINCOLN
4. Mkurugenzi mkuu wa Benki M Tanzania, Sanjeev Kumar
5. Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura
6. Astery Ndege aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Aste Insurance Brokers
7. Mfanyabiashara Daniel Chizua aliyedaiwa kukutwa na Kobe Wawili
8. Raia wa China, Liang Hu aliyedaiwa kuua Tembo 511
9. MKURUGENZI wa Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Markez inayojenga Reli ya kisasa Standard Gauge, Yetkin Genc Mehmet
10. Wafanyabiashara Noah Mmasanga, Richard Boniface, Ally Said na Mosses Mbojo na wengine wengi.
Vilevile kuna hukumu zinatolewa bila hata ya Kwenda Mahakamani. Mfano TCRA iliwapiga faini Airtel: 1.6 bilioni, TTCL: 1.6 bilioni, Halotel: 900 milioni, Zantel: 850 milioni, Tigo: 500 milioni na Vodacom: 450 milioni.
Je, ni lini Tutapata Mabilionea Wapya sababu Waliopo Wanazidi kuaga dunia.
Nashauri wachunguzi wa mambo wafanyie kazi Vifo vya hawa Matajiri wa Kitanzania ambao wamekufa kwa kufuatana . Isijekuwa ni hela zao zimewatoa roho. Mungu alaze roho zao mahali pema peponi Subhash Patel, Mr Reginald Mengi, Dr Rajni Kanabar, Ali Mufuruki, Salim Hassan Turky, Mr Salum Shamte nk.
Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule
HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE UTANGULIZII 1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi...www.jamiiforums.com