Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

Hizi mambo asili yake rwanda.M7 hana hizi yeye ugomvi wake ni kumtoa kitini.
Ug awaulizi ulipo pata pesa Wala kuchungulia akaunti yako we wekeza tu.M7 asomeshi namba watu wake alipata nchi kwa mtutu na sio kupita bila kupingwa.
 
Hizi mambo asili yake rwanda.M7 hana hizi yeye ugomvi wake ni kumtoa kitini.
Ug awaulizi ulipo pata pesa Wala kuchungulia akaunti yako we wekeza tu.M7 asomeshi namba watu wake alipata nchi kwa mtutu na sio kupita bila kupingwa.
Uganda wafanyabiashara wapo huru hata uwe na dola milion 400 bank hawana mda na wewe ili mradi haujihusishi na Siasa tu,
 
Wabunge mawaziri wakuu wa mikoa wilya wakurugenz wanatumia hzo kodi mbaya sana angalia magar ya m mia mbil na
Nchi zingine hata ulaya watumishi wa umma hutumia magari ya kawaida tu isipokuwa wale viongozi wakuu tu, Tanzania ndiyo Taifa hutumia gharama kubwa kununua magari ya Toyota V8 kwa kila mkuu wa mkoa, wilaya, katibu Tawala, wakurugenzi mameya, makatibu wakuu, mawaziri, wakati Rwanda wao waziri hukopeshwa Gari
 
Nina mpango wa kuvuka boda hapo maana Kuna pesa ndefu sana itaingia soon

Sasa Bora ikae Kenya niwe nahamisha ya kula mboga tu kidogo kidogo(kwa sauti ya Dr Shika[emoji14])
Weka kenya Uganda Zambia ambapo hawana usumbufu kama wa BOT kisha unaenda kuchukua unapita panya road mipaka bubu ipo mingi unarudi Tanzania unakula pesa zako bila kelele
 
Mabenk ya Nchi jirani sasa yanasitawi kwa pesa za watanzania waliokosa imani na mabenk ya Tanzania kutokana na usumbufu wa TRA kufunga Account kihuni kienyeji kwa njia haramu za kishetani na pia vyombo vingine kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi wafanyabiashara kwa nia ya kuwapora pesa zao kienyeji kishamba kwa njia haramu.
 
Serikali hii ukitaka wakupende ,we Jenga nyumba ya nyasi tu wanafurahia sana, na tunakoelekea wataanza kuchunguza vyakula tunavyokula,utatakiwa kula ugali tembele ,ukila wali nyama mixa madikodiko na peps baridi tra wanakuhusu
 
Serikali hii ukitaka wakupende ,we Jenga nyumba ya nyasi tu wanafurahia sana, na tunakoelekea wataanza kuchunguza vyakula tunavyokula,utatakiwa kula ugali tembele ,ukila wali nyama mixa madikodiko na peps baridi tra wanakuhusu
Cha ajabu na cha kushangaza huwa hawachunguzi Account na mali za watumishi wa TRA na watumishi wengine vinara wa uonevu kwa wafanyabiashara
 
Nunua dola weka ndani mapesa ya madafu nayo hayaaminiki kukaa nayo mengi ndani.
sasa hivi benki sio salama kuweka fedha tena!
Au nunua ardhi ni salama zaidi kuliko kuweka fedha ndani au benki.
Hata aridhi siyo salama. Kila kipande cha aridhi kinapimwa na kinatakiwa kulipiwa kodi ya aridhi kila mwaka
 
Cha ajabu na cha kushangaza huwa hawachunguzi Account na mali za watumishi wa TRA na watumishi wengine vinara wa uonevu kwa wafanyabiashara
Inatia hasira sana hii,ma DC, RC ,wakurugenzi,mawaziri nk wao ruksa kufanya chochote,ila wavuja jasho ambao hata hawajui mitaji wameipataje wanahenyeshwa sana
 
Tutaanza kuzichimbia ndani Tena chumbani, tunachimba shimo chumbani chini ya uvungu wa kitanda na kuweka cement na chuma hafu tunapiga kufuli. Hakuna atakaye jua.
Hivi nyie mlikuwa mnaweka pesa zenu nyingi Benki? Benki huwekwa pesa ndogo ndogo tu, kama 1milioni mpaka 50 milioni. Zaidi ya hapo tafuta pahala pengine pa kuweka.
 
Zanzimana sio mtu kabisaaa , yaani Ni jizi la hatari , uchawi , lenyewe , dhulumati , roho mbaya lenyewe sijui Lina nini shamba na Limbukeni la kutupa .
 
Zanzimana ni balaa kwa hii nchi .
 
Hii inaitwa daylight robbery from United republic of the gangster under Mhutu Zanzimana .
 
Tuliletewa barua na BOT yakureporty kila mteja wetu anayeleta cash nyingi mara kwa mara. Majina yatumwe Bot nikataka kushare hiyo barua hapa miezi ile ya sita na saba lakini nikasita.
Kwa kifupi kla mteja analeta cash nyingi tunatuma jina
Dah hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…