Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

labda uchim
Tutaanza kuzichimbia ndani Tena chumbani, tunachimba shimo chumbani chini ya uvungu wa kitanda na kuweka cement na chuma hafu tunapiga kufuli. Hakuna atakaye jua.
labda uchimbe mwenyewe ......ukitafuta fundi atakuchoma
 
Moja kati ya majukumu yangu wakati nimeajiriwa ilikuwa ni kupeleka fedha bank kila baada ya siku tatu mpaka sita, 100-150M.
2017 TRA walianza kash kash na mwenye kampuni hatasahau, ilibaki kidogo acolapse yule mzee. Toka 2019 anaweka pesa bank kidogo sana, anafungia pesa kwenye safe, akifanya purchase anapeleka pesa kwenye account ya supplier moja kwa moja. Wafanyakazi na wananchi wa kawaida wanaweza wasielewe haya, ila wafanyabiashara wakubwa wana wakati mgumu sana.
 
Najua kesi ya jamaa yangu wa karibu kabisa aliyepigwa zaidi ya mil 90. Kashindwa kutoa hela, kaenda kuuliza anaambiwa nenda makao makuu ya Benki, huko wakamwabia serikali inasema kuna mashaka na hela yako... kabanwa mbavu aeleze amezipataje. Bahati mbaya jamaa biashara zake hazikuwa rasmi (kilimo), akakosa vithibitisho. Wakataifisha.
Aisee.

Kuna msukuma mmoja alifanyiwa hivi hivi wakachukua 62M. Walikufa wafanyakazi wa TRA watatu waliohusika kwenye issue yake, na kila mmoja alikuwa anakata saa nane usiku kila siku ndani ya siku tatu. Kiongozi wao alienda kupiga magoti kwa huyo jamaa. Mtu ahangaike kutafuta fedha halafu wachukue tu kijinga jinga, aliwanyoosha.
 
Lete ramani ya huyo Msukuma alipo waende wafanyabiashara wote waliofungiwa Account zao kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
Dawa yao vinara wa kufungia watu Account zao ni kuwasomea Albadiri tu
 
Aisee.

Kuna msukuma mmoja alifanyiwa hivi hivi wakachukua 62M. Walikufa wafanyakazi wa TRA watatu waliohusika kwenye issue yake, na kila mmoja alikuwa anakata saa nane usiku kila siku ndani ya siku tatu. Kiongozi wao alienda kupiga magoti kwa huyo jamaa. Mtu ahangaike kutafuta fedha halafu wachukue tu kijinga jinga, aliwanyoosha.
Mimi huwa nawaambia watu humu watanzania wengi ni wajinga.

Mtu unamuachaje wakati amekudhurumu. Kuna wataalam chukueni majina Yao wapelekeeni wako huko muheza, pemba, uvinza, kibondo, Lindi n.k

Bila kufanya hivyo heshima haitarudi.
 
Ahaaaa uwongo huo kama kweli mbona tunashindwa kutengeneza mavitu kuhusu wasimamizi uchaguzi ili tupumzike malalamiko ya kunyooshwa.
 
Uyu aliwanyosha kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nawaambia watu humu watanzania wengi ni wajinga.

Mtu unamuachaje wakati amekudhurumu. Kuna wataalam chukueni majina Yao wapelekeeni wako huko muheza, pemba, uvinza, kibondo, Lindi n.k

Bila kufanya hivyo heshima haitarudi.
Visasi ni vya Mungu mkuu japo huwa inauma sana mpaka kupelekea watu kufanya maamuzi ya kutoa roho za watu
 
Ahaaaa uwongo huo kama kweli mbona tunashindwa kutengeneza mavitu kuhusu wasimamizi uchaguzi ili tupumzike malalamiko ya kunyooshwa.
Mkuu inaonekana hutembei sana.

Ukizunguka kanda ya ziwa, Sumbawanga, Katavi, Tabora na kigoma utajua nilichoandika hapo.

2018 OCD wa urambo alitonywa na jamaa ake mmoja kuna wasukuma wanahamisha mifugo bila kibali, huwa wanafanya hivyo kutafuta malisho na kuhamisha kambi. Akatuma vijana wakafanikiwa kuwakamata, ng'ombe zikaletwa kituoni. Yule msukumo akawapa 5M wakakataa, walitaka 10M. Aliwapa ila aliwaambia zitawatokea puani.

Akachukua ng'ombe zake akasepa. Yule OCD alidondoka usiku na kufia njiani wakimpeleka hospital. Kesho yake mchana rafiki yake aliempa mchongo nae akakata kamba. Vijana waliokwenda kumkamata yule msukuma waliwasha gari na kwenda kumtafuta na kumwomba msamaha. Kuna watu huwezi kuwafanyia mambo ya kipuuzi wakakuacha salama. Haya mambo ni halisi kuliko unavyofikiri. Tembea uone
 
Aisee.

Kuna msukuma mmoja alifanyiwa hivi hivi wakachukua 62M. Walikufa wafanyakazi wa TRA watatu waliohusika kwenye issue yake, na kila mmoja alikuwa anakata saa nane usiku kila siku ndani ya siku tatu. Kiongozi wao alienda kupiga magoti kwa huyo jamaa. Mtu ahangaike kutafuta fedha halafu wachukue tu kijinga jinga, aliwanyoosha.
Usipotengeneza mazingira ya ku-deal vitu kwa haki ndio matokeo yake haya. Watu wenye mamlaka wanatumia "ukali" wa serikali ya awamu ya 5 kupiga hela sana. Unatishwa, ukiogopa inabidi uwalipe; ukidinda wanakupa kesi
 
Hapana....Nafikiri serikali ipo sahihi....kuwa na kiasi kikubwa nia sawah ila kiendane na kodi ulizolipa...wew unamiliki billion 5 bank wakikucheki record zako TRA wanaona haiendani na kiasi unachomiliki...Nchi nyingi zinafanya hiv...tumeshuhudia kina Messi,,Ronaldo wakifikishwa mahakan kwa kutuhuma za kukwepa kodi kwasababu kiasi kilichokusanywa hakiendani na pesa walizoingiza....Miliki pesa nyingi ila hakikisha TRA wanarecords zako nzuri na zinazoendana na kiasi unachomiliki...
Mnaacha kuiga vitu vya maana mnaiga upumbavu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna unachokwepa labda wingi wa noti tuu,hizo dola ununue vichochoroni yaani isiwe sehemu rasmi kama benk ,byuro de change nk maana kuna sheria inakataza kuwa na bulk cash unaweza kudhtskiwa kwa uhujumu uchumi tena
Dah[emoji24]
 
Back
Top Bottom