Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM.
Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri.
Said Salim Bakhresa alikuwa mzamini mkubwa wa mchango pesa kwa CUF leo CCM wakichangiwa sawa ila wengine wakichangiwa ni wahaini.
Said Salim Bakhresa alikuja kupewa kesi ya figusi kuwa kaingiza ngano iliyokwisha mda wake.
Kutokana na hii kesi alishinda kupitia mahakama za nje sio za ndani.