The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Kuna kilio kikubwa cha nishati na fukuto la nishati lilikuwa na viashiria vyote vya kuwa hali itakuwa tete sana pamoja na viashiria vyote hivyo kutokana na kwamba serikali iliyopo madarakani haikuchaguliwa na wananchi haina vinasaba nao haikujali chochote.
Kama ingekuwa ni serikali imewekwa pale na kura za watu ingeumiza kichwa sana mapema kabisa baada tu ya marekani kushambulia Iran, na wangekuja na masuluhusho mengi sana ili kuwapa nafuu kubwa sana wapiga kura.
Lkn kwa hali ilivyo ni kwamba watajiongezea wao kimyakimya posho ya mafuta na sisi wananchi tutaanbiwa tufunge mkanda.
Wakati huu ilitakiwa serikali itoe ruzuku kubwa kwa nishati ya gas ili gas ichukue sehemu kubwa ya matumizi lakni pia serikali ilipaswa kufuta Kodi nyingi sana ili kupunguza maumivu.
Machawa huwa hawajuagi hayo wao kazi yao kusifia tu. Yaani mwananchi ukijifanya rafiki wa watawala watakukamua mpaka ukauke.
Tuache uchawa lazima tuisukume serikali kuumiza kichwa