The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Nimepita leo ofisi za Nida pale Mombasa watu wamekusanyika wengi foleni juani toka asubuhi hadi jioni, hivi katika kizazi hiki cha technology ilivyopiga hatua una haja gani kuwaanika watu juani na kuwanyeshesha mvua, huku ukiwa umewasitisha kufanya kazi kutwa nzima!!?
Hali ni hiyo maeneo mengi hasa ya ofisi za umma. Sioni sababu ya ccm kujisifu kwa kukaa muda mrefu madarakani, badala yake wawekeze kuwarahisishia wananchi maisha. Ukipanda daladala kwenye miji yetu ni mateso makubwa sana
Kwakweli tunahitaji ukombozi wa kifikra