The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
gentleman,Nimepita leo ofisi za nida pale Mombasa watu wamekusanyika wengi foleni juani toka asubuhi hadi jioni, hivi katika kizazi hiki cha technology ilivyopiga hatua una haja gani kuwaanika watu juani na kuwanyeshesha mvua, huku ukiwa umewasitisha kufanya kazi kutwa nzima!!?
Hali ni hiyo maeneo mengi hasa ya ofisi za umma. Sioni sababu ya ccm kujisifu kwa kukaa muda mrefu madarakani, badala yake wawekeze kuwarahisishia wananchi maisha. Ukipanda daladala kwenye miji yetu ni mateso makubwa sana
Kwakweli tunahitaji ukombozi wa kifikra
Viongozi na wizara usika imejaa watu wapumbavu...hicho ulicho kiona ni mfumo wa rushwa na ufisadi ..mfano swala la vitamburisho lilitakiwa kuwa connection na RITA NA MAHAKAMA NA HIYO NIDA siyo unaenda nida mara Rita mara mahakamani nk ...mfumo umesukwa uwe mbovu kwa kusudi la rushwa na ufisadiNimepita leo ofisi za nida pale Mombasa watu wamekusanyika wengi foleni juani toka asubuhi hadi jioni, hivi katika kizazi hiki cha technology ilivyopiga hatua una haja gani kuwaanika watu juani na kuwanyeshesha mvua, huku ukiwa umewasitisha kufanya kazi kutwa nzima!!?
Hali ni hiyo maeneo mengi hasa ya ofisi za umma. Sioni sababu ya ccm kujisifu kwa kukaa muda mrefu madarakani, badala yake wawekeze kuwarahisishia wananchi maisha. Ukipanda daladala kwenye miji yetu ni mateso makubwa sana
Kwakweli tunahitaji ukombozi wa kifikra
gentleman,
inaonyesha una malalamiko mengi zaidi ya hayo ulioyaeleza kwa hisia sana,
Je,
unaweza kuayaeleza yote kwa kina, ili hatimae walau upete relief ya kutosha dhidi ya yale mengi sana uliyonayo moyoni na hatimae mamlaka kuweza kuyachukua yale muhimu zadi na kuyafanyia kazi ikiwa itaonekana inafaa?
i'm sorry kama hutojali gentleman
Yaan katika hili serikali wamefeli mnoo mpaka nikajisi wana agenda zao katika hili, imagine ni issue ya printing tu kwann vitambulisho vya mpiga vinatoka tit for tat? Ccm kweli mmeshindwa hata kwenda na kasi ya ulimwengu wa technology? Wananchi wameteseka na wanaendelea kuteseka ili wapate kitambulisho cha umiliki wa pumzi ya kuishi 😢😢😢Nimepita leo ofisi za Nida pale Mombasa watu wamekusanyika wengi foleni juani toka asubuhi hadi jioni, hivi katika kizazi hiki cha technology ilivyopiga hatua una haja gani kuwaanika watu juani na kuwanyeshesha mvua, huku ukiwa umewasitisha kufanya kazi kutwa nzima!!?