Achana na ITV ..aliondoka nayo Marehemu Mzee Mengi..
Kwa sasa Joyce Mhaville yuko compromised, CCM kule..
Umri umeenda na mwili umebaki ni ukuni,uwezo wa kufikiri umeshuka na CCM ndiyo wanatumia hiyo loophole kumdanganya watampa kiti cha Ukurugenzi wa TBC-CCM azipe nafasi ya Lyoba,wakijua fika hata uwezo wa kuongea hadharani ameshuka.
Wanawashindanisha na Pascal Mayalla eti..Ndiyo maana nayeye kila uchao ni thread ndefu hapa JF za kusifia CCM na Viongozi wake kama MAKONDA aliye karibu na SAMIA,ili amu endorse.