- Thread starter
- #21
Umeongea jambo la maana hasa hapo kwenye mgomo wa walimu.Lakini bahati mbaya kabisa kwa Sasa hilo haliwezekani.Sababu kubwa ni kwamba,organiser mkubwa anayetarajiwa kusimamia hili,CWT,hana nguvu Wala nia ya kuitisha mgomo.Na sababu zipo nyingi tu:mazingira magumu ya kazi,mshahara mdogo,kutolipwa teaching allowance kama kada zingine wanavyolipwa mfano madaktari wanalipwa consultation fee,n.k.CWT hawana nguvu wala nia kwakuwa wao ni sehemu ya CCM,chama tawala.
Na mimi nasema nyie CWT,mnakula pesa za michango kutoka kwa walimu lakini hamuwezi kutimiza jukumu lenu la msingi ambalo ni kupigania maslahi bora kwa wanachama wenu,MLAANIWE.MWISHO WA SIKU CHAMA CHENU KIFE,KWAKUWA DALILI TUMESHAANZA KUZIONA
Haya ni maneno yako yenye kusikitisha sana:
"MLAANIWE.MWISHO WA SIKU CHAMA CHENU KIFE,KWAKUWA DALILI TUMESHAANZA KUZIONA."
Ndiyo maana ma CCM yanasema yataendelea kutawala kwa miaka 100.
Swali la msingi wewe ni mwalimu? Bila shaka jibu hapana. Wewe ni kamanda? Bila shaka BAVICHA kabisa!
Tutegemee katiba mpya Kwa watu kama wewe wenye kuitaka ngoma wasiyokuwa tayari kuicheza?
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir
Kama hamko tayari kuelekea Tahrir si bora mkatafuta jezi za kijani mkavunga kufa kuwa ninyi si CCM bali wananchi?
Wanaume tukutane Tahrir wengine subirini walimu kukinukisha Ili nani mpate yenu.