Serikali ya CCM isivyo na utu, huruma wala aibu


Haya ni maneno yako yenye kusikitisha sana:

"MLAANIWE.MWISHO WA SIKU CHAMA CHENU KIFE,KWAKUWA DALILI TUMESHAANZA KUZIONA."

Ndiyo maana ma CCM yanasema yataendelea kutawala kwa miaka 100.

Swali la msingi wewe ni mwalimu? Bila shaka jibu hapana. Wewe ni kamanda? Bila shaka BAVICHA kabisa!

Tutegemee katiba mpya Kwa watu kama wewe wenye kuitaka ngoma wasiyokuwa tayari kuicheza?

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir

Kama hamko tayari kuelekea Tahrir si bora mkatafuta jezi za kijani mkavunga kufa kuwa ninyi si CCM bali wananchi?

Wanaume tukutane Tahrir wengine subirini walimu kukinukisha Ili nani mpate yenu.
 

NIlidhani kundi kubwa lenye watu wenye kujitambua zaidi walikuwa CDM hawa:

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

Zingatia Odinga hana nyomi la mtu 2,000 analoambatana nalo kumfanya kamanda Zirro kuufyata.
 
Kilichokufanya usome na kisha kukomenti ni nini mjomba?
 
Tabia zetu ni tofauti na wakenya.

Kwa hiyo tabia za wafanya biashara Kariakoo au wale machinga tusiotaka kujifunza kwao hao tabia zao ni kama wakenya?

Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

Au wasema je kuhusu hili nyomi?

Your browser is not able to display this video.


Au nao ni wakenya?

Si kuwa mna tabia za kina Yoda, Waterloo au Ile CDM tusiyokuwa na imani nao, wenye kupenda ngoma ichezwe na wengine ila si nyie?

Kwamba si ajabu kuona TAL kakosea pale ingebidi afanye hivi?
 
Kuwa na Imani na chadema uwe unauwezo mdogo Sana wa kupambanua mambo

Kuwa na Imani na CHADEMA tuliyo na Imani nayo ni rahisi kuliko kuwa na Imani na hizi nyoka:



Tulipo leo nani mwenye kujua kilichomsibu jiwe, jkn, au hata kachero mbobezi?
 
ni kweli kijani bila deep state ni plain white paper.....anyway hongerini Deep state kwakuwa mstari wa mbele kuhakikisha nchi hii inakuwa salama mpaka leo ,,,maana bora mmoja aondoke ili 61 millioni wabaki salama bila kujali yeye ana wadhifa gani.....
 
huku Waziri Mkuu akivitaka vyombo, TRA na Jeshi la Polisi kujitafakari kutokana na kile kilichoelezwa na wafanyabiashara."
Kauli hii inaonesha udhaifu wa serikali yetu, yaani taasisi zimefanya kazi kinyume na maadili lkn waziri mkuu anaishia kusema zijitafakari?

Nilitegemea wakuu wa taasisi hizo watenguliwe kwa kushindwa kusimamia taasisi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…