Serikali ya CCM iweke wazi kama kuna mgao wa umeme. Haiwezekani kila siku umeme uwe unakatika kuanzia saa moja na kurudi saa tano

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Wananchi wajipange na kununua majenereta.

Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi.

Wenye pesa za uhakika wanunue Solar power.

This is too much.
 
Wananchi wajopange na kununua majenereta.

Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi.

Wenye pesa za uhakika wanunue Solar powe.

This is too much.

Makamba: Mgao huu umesababishwa na Magufuli!
 
Mnazalisha ma Injinia kila siku pale Mlimani
Leo karne ya 21 bado mnalilia umeme.
Vyuoni mnaenda kusomea nini...???
 
Wananchi wajopange na kununua majenereta.

Wasio na uwezo wa majenereta wanunue taa za kandiri na koroboi.

Wenye pesa za uhakika wanunue Solar powe.

This is too much.
Mwana CCM, anauliza serikali yake ya CCM,
Tulijua umeme unakatwa kwa wapinzani kama ambavyo mliahidi kwenye kampeni, hamtapeleka maendeleo kwa wapinzani,

Kaa kwa kutulia kuna njaa na ukame mkali unatabiriwa, hivyo tarajia uhaba mkubwa wa maji,
picha limeanza dar wenye maboza ya maji wanalamba asali sasa
 
Pointless
 
Back
Top Bottom