Kubana matumiziHicho kikao kinahusu nini kwani?
Ok!Austria ulaya
Kubana matumizi
Sidhani unaweza kuomba ufanye kikao Bure ukakubaliwa. Tunae mjomba Gani huko Vienna aliyetulipia ukumbi?Acha fujo,
Hizo ni side meetings za vikao, mostly mkienda kwenye vikao vya kimataifa wanaandaa rooms kwa ajili ya side/Private meetings za viongozi/delegates
Najua viena kuna kikao cha atomic kinaendelea, possible delegation hii ilienda kwenye kikao hiko, na wakaomba private room kufanya consultations between themselves kabla ya partner consultations.
These is normal in international meetings
Atomic hii ya bombs au? Tz na Atomic wapi na wapi, pia wanahitaji delegation kubwa namna hiyo Mkuu.. tuseme room wamepewa bure, gharama za safari, malazi, per diem, miscellaneous etc lazima bahasha zitembee hapo.Acha fujo,
Hizo ni side meetings za vikao, mostly mkienda kwenye vikao vya kimataifa wanaandaa rooms kwa ajili ya side/Private meetings za viongozi/delegates
Najua viena kuna kikao cha atomic kinaendelea, possible delegation hii ilienda kwenye kikao hiko, na wakaomba private room kufanya consultations between themselves kabla ya partner consultations.
These is normal in international meetings
Trust me, side meetings ni jambo la kawaida,Sidhani unaweza kuomba ufanye kikao Bure ukakubaliwa. Tunae mjomba Gani huko Vienna aliyetulipia ukumbi?