Serikali ya CCM na hatima ya elimu yetu

Serikali ya CCM na hatima ya elimu yetu

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,204
Reaction score
5,710
attachment.php

Tazama hii picha.

Huu ni mtihani wa mwanafunzi wa kidato cha tatu, anategemewa awe kidato cha nne mwakani, kaishia kukopi maswali ya mtihani tena ovyo ovyo bila kueleweka na kuyakata kisha akakusanya, huyo ni mmoja tu, ni jaribu nusu ya darasa hufanya madudu hayohayo, nmepiga picha mtihan wake leo, alafu kesho wanasema walimu hawafundishi.

Nimfundishe nini mtoto kama huyo, alikuja form one hajui kusoma na kuandika, na mwaka jana kapita form II bila mchujo.

Hii ndio hatima ya nchi yetu na serikali ya CCM

Note: shule niliopiga picha haipo kijijini. 5km kutoka halimashauri ya wilaya
 
Attachments

  • 1411369027080.jpg
    1411369027080.jpg
    30.1 KB · Views: 536
ndugu nakupongeza kwa kumfanya huyo mwanafunzi ajue kuandika ingawa kusoma nna mashaka nako. kuhusu mengne sina mchango
 
mwalim pambana kumuokoa huyo mwanafunzi, usilalamike hapa, hilo ni jukumu lako huyo mtoto akae sawa
 
mwalim pambana kumuokoa huyo mwanafunzi, usilalamike hapa, hilo ni jukumu lako huyo mtoto akae sawa

Fikiri mara 3 kabla yakujibu, so mimi ndio nimfundishe KKK, kwa level yangu sikwenda chuo kufundisha KKK

Pili soma uelewe dhima ya Andiko langu
 
Fikiri mara 3 kabla yakujibu, so mimi ndio nimfundishe KKK, kwa level yangu sikwenda chuo kufundisha KKK

Pili soma uelewe dhima ya Andiko langu

Lengo lako ni kuilamu serikali, umekumbana na tatzo, lawama haisaidii hapo ni ww kutumia taaluma yako kujitoa kwa ajili ya watoto, ualimu ni wito fanya kitu taifa likukumbuke
 
Sasa kama Elimu inataka mtu avuke level moja kwenda nyingine kwa vipimo maalumu na siasa zina command aende bila vikwazo ni mlaumu nani

Pili wap imeandikwa ualimu ni wito, usikariri alichosema juma jana, sema unachokiona leo, thats mabadiliko ya kweli, na liberated mind.
 
Ila ualimu bhana, Kazi kweli.

Usikute wewe una degree halafu mshahara unazidiwa na nesi wa certificate pamoja na suruba hizo zote. Ngoja nikuulize mwl kwahiyo hapo elimu yako unapokuwa porini huko unaifaidii kweli maana mi huwa naona wasomi walioko porini wanazidiwa hata na drs la 7 wa Tandare.
 
Ila ualimu bhana! Kazi kweli!
Usikute wewe una degree halafu mshahara unazidiwa na nesi wa certificate pamoja na suruba hizo zote.Ngoja nikuulize mwl kwahiyo hapo elimu yako unapokuwa porini huko unaifaidii kweli maana mi huwa naona wasomi walioko porini wanazidiwa hata na drs la 7 wa Tandare

Hakuna lugha nzuri inayokufaa ndugu kama hii " Dont argue with a Fool"

Na lugha mbaya zaid ni hii " usilolijua....."

Moderate language sikuitumia hapo, ningeitumia basi ningetumia kanuni ya Biblia inasema "MPUMBAVU MJIBU SAWASAWA NA UPUMBAVU WAKE"

karibu tena Bro/sis
 
Limekutouch? tatizo walimu hamjitambui sijui zile shikamoo za watoto zimewaathiri?

Yaani katika watumishi wa serikali hawa jamaa wapowapo tu mi huwa siwaelewi kabisa ndo maana maana Roma alisema ualimu ni kimbilio la waliofell.

Nimegundua kitu ndo maana rais Kikwete aliwaambia waache kazi wakanywea.

Sorry Dumelang
 
Last edited by a moderator:
Limekutouch?,tatizo walimu hamjitambui sijui zile shikamoo za watoto zimewaathiri?
Yaani katika watumishi wa serikali hawa jamaa wapowapo tu mi huwa siwaelewi kabisa ndo maana maana Roma alisema ualimu ni kimbilio la waliofell.Nimegundua kitu ndo maana rais Kikwete aliwaambia waache kazi wakanywea.sorry Dumelang
Inawezekana hujui unalolizungumza, na kumponda mwalim sijui inaonyesha ww ni mtu wa aina gani, roma kusema hayo maneno ni alipotoka kama ambavyo ww unajaribu kupotoka, hakuna mwalim aliyefeli siku hizi.

Watu wamegundua kazi ya ualim ni kazi nzuri na ndo mana wanaikimbilia.
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana hujui unalolizungumza, na kumponda mwalim sijui inaonyesha ww ni mtu wa aina gani, roma kusema hayo maneno ni alipotoka kama ambavyo ww unajaribu kupotoka, hakuna mwalim aliyefeli siku hizi. Watu wamegundua kazi ya ualim ni kazi nzuri na ndo mana wanaikimbilia

wanaikimbilia baada ya kuona hakuna namna hivi kweli una one au two nzuri kabisa unaweza kufikiria kwanza ualimu?we mwenyewe sidhani kama ulikuwa unwaza kuchezea vumbi la chaki.

Haya Roma alipotoka vp rais nae aliposema ''ambae anaona mshahara ni kidogo aache kazi'' na mgomo wenu ukaishia hapo naye alipotoka?ila ngoja nikwambie UALIMU NI DARAJA LINALOPITISHA WAJANJA KWENDA KWENYE MAFANIKIO.

Ndo maana shughuli zote za suruba za serikali wanapewa walimu, mfano kuandikisha wapiga kula vijijini, sensa sababu ni daraja.
 
Limekutouch?,tatizo walimu hamjitambui sijui zile shikamoo za watoto zimewaathiri?
Yaani katika watumishi wa serikali hawa jamaa wapowapo tu mi huwa siwaelewi kabisa ndo maana maana Roma alisema ualimu ni kimbilio la waliofell.Nimegundua kitu ndo maana rais Kikwete aliwaambia waache kazi wakanywea.sorry Dumelang

Ninachoamini ni hiki kama umewai kwenda shule, possibility hujaenda shule ni kubwa, lakn kama ulibahatika kwenda shule basi huyo asiejitambua amewai kukutiisha, amewai kukutoa ujinga, umewai mtii na kumsikiliza, umewaipiga magoti chini yake, amewai kukuamuru ukaenda zaid sana umewai kuwa mtumwa kwake.

Una akili kidogo sana natamani nikufahamu kwa sura, kila anaesema mimi msomi nyuma yake anasema alikuwepo mwalimu fulani
 
Last edited by a moderator:
wanaikimbilia baada ya kuona hakuna namna hivi kweli una one au two nzuri kabisa unaweza kufikiria kwanza ualimu?we mwenyewe sidhani kama ulikuwa unwaza kuchezea vumbi la chaki.Haya Roma alipotoka vp rais nae aliposema ''ambae anaona mshahara ni kidogo aache kazi'' na mgomo wenu ukaishia hapo naye alipotoka?ila ngoja nikwambie UALIMU NI DARAJA LINALOPITISHA WAJANJA KWENDA KWENYE MAFANIKIO.Ndo maana shughuli zote za suruba za serikali wanapewa walimu.mfano kuandikisha wapiga kula vijijini,sensa sababu ni daraja

kikwete aliwaambia tucta yaani chama cha wafanyakazi na si waalim peke yao.
 
Limekutouch?,tatizo walimu hamjitambui sijui zile shikamoo za watoto zimewaathiri?
Yaani katika watumishi wa serikali hawa jamaa wapowapo tu mi huwa siwaelewi kabisa ndo maana maana Roma alisema ualimu ni kimbilio la waliofell.Nimegundua kitu ndo maana rais Kikwete aliwaambia waache kazi wakanywea.sorry Dumelang

hiv ww unajielewa kwel?? Au unaandka ukiwa umevurugwa kdogo?? Inawezekanaje aliyefel kumfundsha mtu akafanya vzr??

Hzo dharau zenu zinawafanya mnapata laana zszo za msing! Ctak ujue mm n nan lakn hapa nlpo nicngefka bila mwl namheshm sana mwl wangu kama navomheshm mzaz wang, co n vzr ukabadlka but if u wont mind but ukiona upo sahh it z ok proceed na kaul zako mbovu!
 
Last edited by a moderator:
Ninachoamini ni hiki kama umewaikwenda shule, possibility hujaenda shule ni kubwa, lakn kama ulibahatika kwenda shule basi huyo asiejitambua amewai kukutiisha, [u[amewai[/u] kukutoa ujinga, umewai mtii na kumsikiliza, umewaipiga magoti chini yake, amewai kukuamuru ukaenda zaid sana umewai kuwa mtumwa kwake.

Una akili kidogo sana natamani nikufahamu kwa sura, kila anaesema mimi msomi nyuma yake anasema alikuwepo mwalimu fulani

Dah! Hadi nimecheka peke yangu kwahiyo ndo unataka kunithibitishia kuwa hii ndo hali ya walimu wa watoto ilivyo?
Sasa kama mwlim hujui kuandika ndo hasira zako unahamishia CCM?
UALIMU-kada ya watumishi wasiojitambua
UALIMU-kada ya watumishi wanaopenda kuinung'unikia serikali halafu bado inawatumikisha kwenye kazi za suruba na malipo kidogo
UALIMU-kada ya watumishi walevi wanaotesa kwe vilabu vya mataputapu tena kwa mikopo
UALIMU-Kada ya watumishi wenye madeni mengi mtaani na kwenye taasisi za kifedha kuliko kada zote
UALIMU-KADA YA WATUMISHI WALIOFELL SHULENI NA KUKIMBILIA HUKO BILA MAPENZI TOKA MOYONI
 
Kwa nini unatukana na kudhihaki walimu namna hiyo?

Kwani huoni mchango wa walimu katika maisha yako? Bila hao walimu sidhan kama ungeweza hata kuandika hayo matusi yako hapa.
 
Kwa nini unatukana na kudhihaki walimu namna hiyo?

Kwani huoni mchango wa walimu katika maisha yako? Bila hao walimu sidhan kama ungeweza hata kuandika hayo matusi yako hapa.

MABADILIKO HAYAJI BILA CHANGAMOTO
Je katika hayo niliyoandika hakuna lenye ukweli?
Nauheshimu sana mchango wa mwalimu katka maisha yangu ila pale mtu anapokueleza ukweli uwe unakubali ili utafute njia mbadala ya kujikomboa katika utumwa.ANAEKUTUSI ANAKUONESHA MAPUNGUFU YAKO USIMKASIRIKIE
 
Back
Top Bottom