Serikali ya CCM tuambieni ,mlitoa wapi ujasiri wa kuchukua pesa ya kununua treni na mabehewa mapya,mkatuletea mtumba?

Tanganyika kila kitu feki, muungajo feki, watawala feki...nahisi hata wananchi ni feki.
🀣 🀣 🀣 πŸ”Š Jamani mbavu sina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”ˆπŸŽΆπŸ”Š
 
Ile pesa ilikuwa ya mkopo!

Ikiwa pesa ya mkopo,

Tutor wapi watz, riba na pesa ya kulipa deni la mkopo?

Lissu akiwa CEO hatosita kusaini watu Hawa kunyongwa!
Naamini humjui Lissu
 
Aisee hii kali yaani kumbe zile kelele zote walichukua Mashine Karume aaah hawa wendawazimu hapana this is too much aisee!
😳😳
 
Swali no 3

Limejibiwa Leo.
 
Kuna viongozi wanastahili kunyongwa hadharani baada ya maandamano ya 29 Oct.
 
Swali no 3

Limejibiwa Leo.
Hao majamaa ni shida kwakweli.

Mainly ignorance, watu wanapewa nafasi ambazo hawana technical skills. Kuanzia mkurugenzi, chief finance and operation manager, wote hawana uwezo.

Ndio maana ni rahisi ku-predict Tanzania issues, wao wanadhani hizo nchi zimeendelea; kwa sababu civil service imejaza wapuuzi kama huku kwetu third world.

Bila ya kumtoa huyo mama hapo, the worst is yet to come.
 
***** CCM, na siku details za mkataba wa bandari zikiwa wazi, mtajua tunaongozwa na majizi na majinga tuu
 
Huu ni mtumba uliochoka balaa.
Your browser is not able to display this video.
 
Unanunua treni ya mtumba kwa bei ya treni mpya! Hii itakuwa siyo akili. Haya yatakuwa ni matope. Halafu mbona magari yao ya kutembelea hawanunui used?
 
Nilikuwa nasubiri machawa Yale mpambavu yajichanganye kwenye huu uzi
 
Unanunua treni ya mtumba kwa bei ya treni mpya! Hii itakuwa siyo akili. Haya yatakuwa ni matope. Halafu mbona magari yao ya kutembelea hawanunui used?
Huo ndio uhaini halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…