Serikali ya CCM tuambieni ,mlitoa wapi ujasiri wa kuchukua pesa ya kununua treni na mabehewa mapya,mkatuletea mtumba?

Serikali ya CCM tuambieni ,mlitoa wapi ujasiri wa kuchukua pesa ya kununua treni na mabehewa mapya,mkatuletea mtumba?

Ile pesa ilikuwa ya mkopo!

Ikiwa pesa ya mkopo,

Tutor wapi watz, riba na pesa ya kulipa deni la mkopo?

Lissu akiwa CEO hatosita kusaini watu Hawa kunyongwa!
Naamini humjui Lissu
 
Aisee hii kali yaani kumbe zile kelele zote walichukua Mashine Karume aaah hawa wendawazimu hapana this is too much aisee!
😳😳
 
Kama kweli train zilizoletwa ni chakavu basi sio muda changamoto ya SGR itakuwa kama U-DART usafiri changamoto.

Asilimia kubwa ya train zitakuwa chakari zimelala depot.

Labda ndio maana Kadogosa kakimbia na kuwaachia msala wengine.

On a serious note biashara ya faida inataka mipango thabiti, if you conduct thoroughly service costing ya kuendesha railway kwenda kununua mikweche ni inevitable failure.
Swali no 3

Limejibiwa Leo.
 
Kuna viongozi wanastahili kunyongwa hadharani baada ya maandamano ya 29 Oct.
 
Swali no 3

Limejibiwa Leo.
Hao majamaa ni shida kwakweli.

Mainly ignorance, watu wanapewa nafasi ambazo hawana technical skills. Kuanzia mkurugenzi, chief finance and operation manager, wote hawana uwezo.

Ndio maana ni rahisi ku-predict Tanzania issues, wao wanadhani hizo nchi zimeendelea; kwa sababu civil service imejaza wapuuzi kama huku kwetu third world.

Bila ya kumtoa huyo mama hapo, the worst is yet to come.
 
***** CCM, na siku details za mkataba wa bandari zikiwa wazi, mtajua tunaongozwa na majizi na majinga tuu
 
Huu ni mtumba uliochoka balaa.
 
Unanunua treni ya mtumba kwa bei ya treni mpya! Hii itakuwa siyo akili. Haya yatakuwa ni matope. Halafu mbona magari yao ya kutembelea hawanunui used?
 
Salaam!

Mlichukua pesa cash toka mkopo mliotukopea kwa ahadi kuwa mtaleta Treni na mabbehewa mapya, Cha ajabu,

Mkaleta treni na mabehewa Chakavu kinyume na Sheria za manunuzi zinazotaka sirikali kununua vitu brand new.

Cha ajabu,kiongozi Mkuu naye akitoka na KUKIRI kuwa ni kweli ni Chakavu. Kwamba tuwavumilie, mtaleta na mapya mbeleni.

Swali: 1. Ujasiri huo mlitoa wapi?

Swali 2. Change ilobaki mbona haikurudi?

Swali 3. Vipi kuhusu usalama wetu kutumia engine mtumba/ chhakavu?

Nawasilisha 🙏
Nilikuwa nasubiri machawa Yale mpambavu yajichanganye kwenye huu uzi
 
Unanunua treni ya mtumba kwa bei ya treni mpya! Hii itakuwa siyo akili. Haya yatakuwa ni matope. Halafu mbona magari yao ya kutembelea hawanunui used?
Huo ndio uhaini halisi.
 
Back
Top Bottom