Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

Waliostaafu mwezi June, nao Bado hawajalipwa mafao yao.

Hiyo inadhihirisha kuwa serikali Haina pesa
 
HABARI KWA UFUPI:

Serikali kuja na mwongozo wa gharama za kumuona Daktari​

Hizo fedha sio za mwezi wa 12 ni kuanzia mwezi wa 11 nadhani
 
walimu hamuaminiki. hata mkidanganywa wakati wa uchaguzi kwamba kila mmoja wenu atapewa helkopta, huwa mnaamini mnalipuka kutukana wapinzani. mkitoswa ndipo akili zenu hukaa sawa temporarily
 
Sasa posho za nini wakati wapo likizo? Kuna majukumu gani wanafanya wakati wa likizo. Na wasipewe tu. Zinawapa kiburi, wanajiona miungu watu!😏
Walinzi wanategemea hiyo fedha halafu haijalipwa kwa miezi miwili kuanzia mwezi wa 11 wanalipwa nini?
 
Wacha inyeshe mkuu... Watajitahidi kuziba lakini aibu yao..
 
Sasa posho za nini wakati wapo likizo? Kuna majukumu gani wanafanya wakati wa likizo. Na wasipewe tu. Zinawapa kiburi, wanajiona miungu watu!😏
What a sickest comment of the day... 💩💩
 
Sorry mkuu, una tigo?
 
mashetani yaliyo na roho mbaya hayo yanaendelea kukatisha tamaa utawala wakati yanaandaliwa maisha mazuri yenyewe yaani binadamu hawana wema ndiyo maana hata vikundi vywao vya saccoss vinabuma tu sasa hivi wamelambishwa asali acheni mama afanye kazi
 
Kama wameshindwa kulipa hizo posho, huoni huo unaweza kuwa ndio mwanzo wa kuja kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wa umma?

Mbuyu ulianza kama mchicha.
 
mashetani yaliyo na roho mbaya hayo yanaendelea kukatisha tamaa utawala wakati yanaandaliwa maisha mazuri yenyewe yaani binadamu hawana wema ndiyo maana hata vikundi vywao vya saccoss vinabuma tu sasa hivi wamelambishwa asali acheni mama afanye kazi
Maisha gani mazuri tunaandaliwa? Serikali ya CCM jambo alilofanikiwa ni kuua upinzani kwa 100%
Wacha nicheke mie yakhee
Teh teh teh teh teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…