peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
- #41
Nina wasiwasi na hiyo kazi yako na elimu yakoKumuhusisha Lowasa na J.K katika serikali 2015.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina wasiwasi na hiyo kazi yako na elimu yakoKumuhusisha Lowasa na J.K katika serikali 2015.
Fafanua hapo, Lowasa alihusikaje na serikali kwa wakati huo, 2015?Nina wasiwasi na hiyo kazi yako na elimu yako
Chuki binafsi ndio maana wanatafutiza na kuota uchawi.Huyo jamaa ni muongo na yuko "biased"
Waliostaafu mwezi June, nao Bado hawajalipwa mafao yao.KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elim kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Dec 2022.
Hali hii imekwenda mbali zaidi ambapo watumishi wa Umma wameshindwa kwenda likizo zao Za Mwisho wa mwaka kwa Serikali kushindwa kuwalipa fedha Za likizo ya Mwezi December 2022.
Hii inaonyesha tunakoelekea Serikali inaweza kukosa mishahara ya kuwalipa watumishi wake jambo ambapo ni hatari kupita Kiasi.
Tunatoa wito kwa Serikali ya CCM kuondoa aibu hii mapema kwani kumsifia mama Ana upiga mwingi wakati serikali inashindwa kuwalipa watumishi wake ni Aibu ya mwaka.
Tume Jaribu kupigia simu Waziri wa Elimu Adolf Mkenda, kujaribu kujua tatizo ni nini , naye alijibu kuwa Tatizo liko TAMISEMI .
Prof Mkenda alishauri Tuwasiliane na Waziri wa TAMISEMI, Waziri Anjela Kairuki ambaye yuko likizo Nchini China, Kwa mume wake na simu yake haipatikani.
Kwamba amekwenda Uchina kula wali kwa kutumia toothpick na kwamba ameamua kuzima hadi simu? 🙆🙆Waziri Anjela Kairuki ambaye yuko likizo Nchini China, Kwa mume wake na simu yake haipatikani.
Hilo nalo ni janga jingineWaliostaafu mwezi June, nao Bado hawajalipwa mafao yao.
Hiyo inadhihirisha kuwa serikali Haina pesa
walimu hamuaminiki. hata mkidanganywa wakati wa uchaguzi kwamba kila mmoja wenu atapewa helkopta, huwa mnaamini mnalipuka kutukana wapinzani. mkitoswa ndipo akili zenu hukaa sawa temporarilyKUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elim kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Dec 2022.
Hali hii imekwenda mbali zaidi ambapo watumishi wa Umma wameshindwa kwenda likizo zao Za Mwisho wa mwaka kwa Serikali kushindwa kuwalipa fedha Za likizo ya Mwezi December 2022.
Hii inaonyesha tunakoelekea Serikali inaweza kukosa mishahara ya kuwalipa watumishi wake jambo ambapo ni hatari kupita Kiasi.
Tunatoa wito kwa Serikali ya CCM kuondoa aibu hii mapema kwani kumsifia mama Ana upiga mwingi wakati serikali inashindwa kuwalipa watumishi wake ni Aibu ya mwaka.
Tume Jaribu kupigia simu Waziri wa Elimu Adolf Mkenda, kujaribu kujua tatizo ni nini , naye alijibu kuwa Tatizo liko TAMISEMI .
Prof Mkenda alishauri Tuwasiliane na Waziri wa TAMISEMI, Waziri Anjela Kairuki ambaye yuko likizo Nchini China, Kwa mume wake na simu yake haipatikani.
Walinzi wanategemea hiyo fedha halafu haijalipwa kwa miezi miwili kuanzia mwezi wa 11 wanalipwa nini?Sasa posho za nini wakati wapo likizo? Kuna majukumu gani wanafanya wakati wa likizo. Na wasipewe tu. Zinawapa kiburi, wanajiona miungu watu!😏
Wacha inyeshe mkuu... Watajitahidi kuziba lakini aibu yao..KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elim kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Dec 2022.
Hali hii imekwenda mbali zaidi ambapo watumishi wa Umma wameshindwa kwenda likizo zao Za Mwisho wa mwaka kwa Serikali kushindwa kuwalipa fedha Za likizo ya Mwezi December 2022.
Hii inaonyesha tunakoelekea Serikali inaweza kukosa mishahara ya kuwalipa watumishi wake jambo ambapo ni hatari kupita Kiasi.
Tunatoa wito kwa Serikali ya CCM kuondoa aibu hii mapema kwani kumsifia mama Ana upiga mwingi wakati serikali inashindwa kuwalipa watumishi wake ni Aibu ya mwaka.
Tume Jaribu kupigia simu Waziri wa Elimu Adolf Mkenda, kujaribu kujua tatizo ni nini , naye alijibu kuwa Tatizo liko TAMISEMI .
Prof Mkenda alishauri Tuwasiliane na Waziri wa TAMISEMI, Waziri Anjela Kairuki ambaye yuko likizo Nchini China, Kwa mume wake na simu yake haipatikani.
What a sickest comment of the day... 💩💩Sasa posho za nini wakati wapo likizo? Kuna majukumu gani wanafanya wakati wa likizo. Na wasipewe tu. Zinawapa kiburi, wanajiona miungu watu!😏
Acha wanyooshwe mpaka watapike makamasi, tuliposema wajitambue walisema Nina wivu na mishahara Yao ya laki Tatumpwayungu village sema chochote kwenye hili.
Sorry mkuu, una tigo?Acha blaa blaa zako hapa unafikiri kuendesha nchi Ni sawa na kuendesha familia yako? Kwani Ni mtumishi gani ambaye hajalipwa mshahara? Posho ya madaraka Ni watumishi wangapi wanaolipwa? Ungesema hawajalipwa mishahara hapo wenye akili wangekuelewa lakini kuzungumza habari za posho ya madaraka kuchelewa kulipwa unaonekana Kama kituko tu hapa jukwaani.
Wenye mioyo ya chuki na mnaosubiri serikali yetu ishindwe Basi Nawaambieni kuwa mtakuwa hamna tofauti na mafisi yanayosubili mkono wa Mwanadamu udondoke ili yaokote,Mtasubiri Sana na Wala Hilo halitatokea hata kidogo. Mtaombea Sana lakini hamtapata majibu ya maombi yenu na mwisho mtaishia kujikatieni Tamaa tu baada ya kuona hampati mnachokihitaji na kukitarajia.
Kumbe umenyang'anywa mke na mwalimuAcha wanyooshwe mpaka watapike makamasi, tuliposema wajitambue walisema Nina wivu na mishahara Yao ya laki Tatu
mashetani yaliyo na roho mbaya hayo yanaendelea kukatisha tamaa utawala wakati yanaandaliwa maisha mazuri yenyewe yaani binadamu hawana wema ndiyo maana hata vikundi vywao vya saccoss vinabuma tu sasa hivi wamelambishwa asali acheni mama afanye kaziAcha blaa blaa zako hapa unafikiri kuendesha nchi Ni sawa na kuendesha familia yako? Kwani Ni mtumishi gani ambaye hajalipwa mshahara? Posho ya madaraka Ni watumishi wangapi wanaolipwa? Ungesema hawajalipwa mishahara hapo wenye akili wangekuelewa lakini kuzungumza habari za posho ya madaraka kuchelewa kulipwa unaonekana Kama kituko tu hapa jukwaani.
Wenye mioyo ya chuki na mnaosubiri serikali yetu ishindwe Basi Nawaambieni kuwa mtakuwa hamna tofauti na mafisi yanayosubili mkono wa Mwanadamu udondoke ili yaokote,Mtasubiri Sana na Wala Hilo halitatokea hata kidogo. Mtaombea Sana lakini hamtapata majibu ya maombi yenu na mwisho mtaishia kujikatieni Tamaa tu baada ya kuona hampati mnachokihitaji na kukitarajia.
Waziri yupo china kwa mume wake. Atakuwa amesafiri kwa kodi zetu?Kila nikitafakari tunakoelekea nakosa majibu.
Kama wameshindwa kulipa hizo posho, huoni huo unaweza kuwa ndio mwanzo wa kuja kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wa umma?Acha blaa blaa zako hapa unafikiri kuendesha nchi Ni sawa na kuendesha familia yako? Kwani Ni mtumishi gani ambaye hajalipwa mshahara? Posho ya madaraka Ni watumishi wangapi wanaolipwa? Ungesema hawajalipwa mishahara hapo wenye akili wangekuelewa lakini kuzungumza habari za posho ya madaraka kuchelewa kulipwa unaonekana Kama kituko tu hapa kajukwaani.
Wenye mioyo ya chuki na mnaosubiri serikali yetu ishindwe Basi Nawaambieni kuwa mtakuwa hamna tofauti na mafisi yanayosubili mkono wa Mwanadamu udondoke ili yaokote,Mtasubiri Sana na Wala Hilo halitatokea hata kidogo. Mtaombea Sana lakini hamtapata majibu ya maombi yenu na mwisho mtaishia kujikatieni Tamaa tu baada ya kuona hampati mnachokihitaji na kukitarajia.
Maisha gani mazuri tunaandaliwa? Serikali ya CCM jambo alilofanikiwa ni kuua upinzani kwa 100%mashetani yaliyo na roho mbaya hayo yanaendelea kukatisha tamaa utawala wakati yanaandaliwa maisha mazuri yenyewe yaani binadamu hawana wema ndiyo maana hata vikundi vywao vya saccoss vinabuma tu sasa hivi wamelambishwa asali acheni mama afanye kazi