Songwe Yetu
Member
- Nov 22, 2021
- 84
- 99
huyu ni mek wa kata ya saza lilishazoea kitonga na wanalibutua mpaka wamelipa na ukimwi achana naloKwanza acha chuki zisizo za lazima kama unaishi Kwa kutegemea posho ya madaraka imekula kwako.
Pili. Tafuta biashara ufanye Ili upunguze njaa zisizo za lazima
tatu. wenzako wasiyo na posho za madaraka mbona hawajaja kulalamika je wameshindwa kwenda likizo
Mwisho. Kafie mbali huko.
Nchi ishadondoka hii.. inasubiri muokotaji tu.Acha blaa blaa zako hapa unafikiri kuendesha nchi Ni sawa na kuendesha familia yako? Kwani Ni mtumishi gani ambaye hajalipwa mshahara? Posho ya madaraka Ni watumishi wangapi wanaolipwa? Ungesema hawajalipwa mishahara hapo wenye akili wangekuelewa lakini kuzungumza habari za posho ya madaraka kuchelewa kulipwa unaonekana Kama kituko tu hapa jukwaani.
Wenye mioyo ya chuki na mnaosubiri serikali yetu ishindwe Basi Nawaambieni kuwa mtakuwa hamna tofauti na mafisi yanayosubili mkono wa Mwanadamu udondoke ili yaokote,Mtasubiri Sana na Wala Hilo halitatokea hata kidogo. Mtaombea Sana lakini hamtapata majibu ya maombi yenu na mwisho mtaishia kujikatieni Tamaa tu baada ya kuona hampati mnachokihitaji na kukitarajia.
Nimequote bila kusoma kwa sababu caps huwa napuuzia kusomaHUJAELEWEKA BADO MBONA CCM UNAITAJA ? NITAJIE CHAMA UNACHOKIONA KINAWEZA KUIVUSHA TANZANIA ZAIDI YA CCM NA SABABU ZAKO
Kakopa ila kichwani kajiwekea 250k ifidie salary . Tatizo linaanzia hapahuyu ni mek wa kata ya saza lilishazoea kitonga na wanalibutua mpaka wamelipa na ukimwi achana nalo
Yani wewe umeshazoea mambo yale ya maselebliti huku naona umeingia mlango mwingineKheeeeh kairuki karudiana na mumewe? Sasa mbna muda mwingu yuko huku na sio kwa mumewe. Lol.
Sent using Jamii Forums mobile app