Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

Kwanza acha chuki zisizo za lazima kama unaishi Kwa kutegemea posho ya madaraka imekula kwako.
Pili. Tafuta biashara ufanye Ili upunguze njaa zisizo za lazima
tatu. wenzako wasiyo na posho za madaraka mbona hawajaja kulalamika je wameshindwa kwenda likizo
Mwisho. Kafie mbali huko.
huyu ni mek wa kata ya saza lilishazoea kitonga na wanalibutua mpaka wamelipa na ukimwi achana nalo
 
Tuliambiwa, Nchi ipo mbioni kupigwa mnada, hatukuzingatia. Kwa hali tulipofikia kama Nchi, bado kitambo kidogo tunakwenda kupigwa mnada asubuhi na mapema.

Lakini kuna mtu mmoja alisema, tusiseme Nchi itapigwa mnada, bali tuseme, Nchi imeshapigwa mnada.
 
Acha blaa blaa zako hapa unafikiri kuendesha nchi Ni sawa na kuendesha familia yako? Kwani Ni mtumishi gani ambaye hajalipwa mshahara? Posho ya madaraka Ni watumishi wangapi wanaolipwa? Ungesema hawajalipwa mishahara hapo wenye akili wangekuelewa lakini kuzungumza habari za posho ya madaraka kuchelewa kulipwa unaonekana Kama kituko tu hapa jukwaani.

Wenye mioyo ya chuki na mnaosubiri serikali yetu ishindwe Basi Nawaambieni kuwa mtakuwa hamna tofauti na mafisi yanayosubili mkono wa Mwanadamu udondoke ili yaokote,Mtasubiri Sana na Wala Hilo halitatokea hata kidogo. Mtaombea Sana lakini hamtapata majibu ya maombi yenu na mwisho mtaishia kujikatieni Tamaa tu baada ya kuona hampati mnachokihitaji na kukitarajia.
Nchi ishadondoka hii.. inasubiri muokotaji tu.
 
Kwa uzoefu, hata mishahara mwezi huu imechelewa ikilinganishwa na miaka kama 6 iliyopita ambapo katika kipindi hiki cha Christmas, mishahara ilikuwa ikitolewa kati ya tarehe 21 au 22, lakini mwaka imekuwa tofauti kidogo.
 
HUJAELEWEKA BADO MBONA CCM UNAITAJA ? NITAJIE CHAMA UNACHOKIONA KINAWEZA KUIVUSHA TANZANIA ZAIDI YA CCM NA SABABU ZAKO
Nimequote bila kusoma kwa sababu caps huwa napuuzia kusoma

Weka hoja kwa mwandiko mzuri acha kunifokea
 
😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝

kumekuchaaaa
 
Back
Top Bottom