Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

Kwanza acha chuki zisizo za lazima kama unaishi Kwa kutegemea posho ya madaraka imekula kwako.
Pili. Tafuta biashara ufanye Ili upunguze njaa zisizo za lazima
tatu. wenzako wasiyo na posho za madaraka mbona hawajaja kulalamika je wameshindwa kwenda likizo
Mwisho. Kafie mbali huko.
 
Attachments

  • FC828301-143D-4A46-B32E-AE4FED4EDF26.jpeg
    FC828301-143D-4A46-B32E-AE4FED4EDF26.jpeg
    28.2 KB · Views: 2
TUAMBIE CHAMA MBADALA UNACHOKIONA KINA FAA ZAIDI YA CCM NA TOA MAONI YAKO NIKWANINI UNAONA CHAMA HICHI KINA FAA NDIYO TUTAKUELEWA ZAIDI YA HAPO TUNAKUONA NI MTENGENEZA MAJUNGU TU
Hili ndilo swali linalofanyiwa propaganda na wasioipenda Tanzania na maendeleo yake.

Vyama vipo na vinaendeshwa na Watanzania. Wanaweza kutuvusha kupitia ilani na sera zao.

CCM imebuma
 
KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022.

Hali hii imekwenda mbali zaidi ambapo watumishi wa Umma wameshindwa kwenda likizo zao Za Mwisho wa mwaka kwa Serikali kushindwa kuwalipa fedha Za likizo ya Mwezi December 2022.

Hii inaonyesha tunakoelekea Serikali inaweza kukosa mishahara ya kuwalipa watumishi wake jambo ambapo ni hatari kupita Kiasi.

Tunatoa wito kwa Serikali ya CCM kuondoa aibu hii mapema kwani kumsifia mama Ana upiga mwingi wakati serikali inashindwa kuwalipa watumishi wake ni Aibu ya mwaka.

Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika.

Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi ya kufundishia na kujifunzia shuleni.

Aidha adha hii pia inasababisha shule nyingi kuwa na mrundikano wa madeni kwa wazabuni kwani baadhi ya shule hukopa vifaa na kushindwa kulipa kwa wakati kutokana na kutoingizwa fedha hizo kwa wakati!

Tume Jaribu kupigia simu Waziri wa Elimu Adolf Mkenda, kujaribu kujua tatizo ni nini , naye alijibu kuwa Tatizo liko TAMISEMI .

Prof Mkenda alishauri Tuwasiliane na Waziri wa TAMISEMI, Waziri Anjela Kairuki ambaye yuko likizo Nchini China, Kwa mume wake na simu yake haipatikani.

Hii imejenga sura mbaya kwa chama Tawala kushindwa kuhudumia watumishi wake kwa wakati.

Fake News.
 
HUJAELEWEKA BADO MBONA CCM UNAITAJA ? NITAJIE CHAMA UNACHOKIONA KINAWEZA KUIVUSHA TANZANIA ZAIDI YA CCM NA SABABU ZAKO
 
Nchi ishafilisika jamani
wewe ndiyo umefilisika kifedha na kiakili pia hii nchi inaenda vizuri kuliko unavyofikiria chuki uliyo nayo kwa ccm ndiyo inakufanya ujitoe akili kiasi hicho? onaga hata aibu basi wenzio wanaiona inasonga mbele wewe unasema imefilisika? aibu yenuu
 
Kuna mzee nilikutana nae alikua analaani mno ila sikumuelewa vizuri maana ilikua weekend.
 
"Kuna vijineno mitandaoni kuwa serikalini hakuna hela. Ni kweli"

By rais Samia.

..labda fedha za mkopo mpya hazijaingia.

..Mama amekuta nchi ina hali mbaya kifedha.

..Jpm alivuruga uchumi, na Mama hana maarifa ya kuurekebisha.
 
KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022.

Hali hii imekwenda mbali zaidi ambapo watumishi wa Umma wameshindwa kwenda likizo zao Za Mwisho wa mwaka kwa Serikali kushindwa kuwalipa fedha Za likizo ya Mwezi December 2022.

Hii inaonyesha tunakoelekea Serikali inaweza kukosa mishahara ya kuwalipa watumishi wake jambo ambapo ni hatari kupita Kiasi.

Tunatoa wito kwa Serikali ya CCM kuondoa aibu hii mapema kwani kumsifia mama Ana upiga mwingi wakati serikali inashindwa kuwalipa watumishi wake ni Aibu ya mwaka.

Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika.

Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi ya kufundishia na kujifunzia shuleni.

Aidha adha hii pia inasababisha shule nyingi kuwa na mrundikano wa madeni kwa wazabuni kwani baadhi ya shule hukopa vifaa na kushindwa kulipa kwa wakati kutokana na kutoingizwa fedha hizo kwa wakati!

Tume Jaribu kupigia simu Waziri wa Elimu Adolf Mkenda, kujaribu kujua tatizo ni nini , naye alijibu kuwa Tatizo liko TAMISEMI .

Prof Mkenda alishauri Tuwasiliane na Waziri wa TAMISEMI, Waziri Anjela Kairuki ambaye yuko likizo Nchini China, Kwa mume wake na simu yake haipatikani.

Hii imejenga sura mbaya kwa chama Tawala kushindwa kuhudumia watumishi wake kwa wakati.
Wakilipwa jitahidi urudi hapa tena kutujuza.
Usiishie serikali inapochelewa kulipa tu
 
Lakini wanajeshi,askari police na askari magereza na wa kada zote za dizaini hii wanaogelea kwenye mishahara na maposho yaliyokufuru.

Inashangaza sn
 
KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata pamoja na ruzuku za shule Kwa kipindi cha Mwezi Novemba na Decemba 2022.

Hali hii imekwenda mbali zaidi ambapo watumishi wa Umma wameshindwa kwenda likizo zao Za Mwisho wa mwaka kwa Serikali kushindwa kuwalipa fedha Za likizo ya Mwezi December 2022.

Hii inaonyesha tunakoelekea Serikali inaweza kukosa mishahara ya kuwalipa watumishi wake jambo ambapo ni hatari kupita Kiasi.

Tunatoa wito kwa Serikali ya CCM kuondoa aibu hii mapema kwani kumsifia mama Ana upiga mwingi wakati serikali inashindwa kuwalipa watumishi wake ni Aibu ya mwaka.

Tangu 01/11/2022 hadi sasa (28/12/2022) takribani miezi miwili serikali imeshindwa kupeleka fedha mashuleni kwa ajili ya ruzuku, na hakuna tamko lolote kutoka katika mamlaka husika.

Kushindwa kupeleka fedha hizo kwa wakati mashuleni kuna sababisha walimu kushindwa kupatiwa vifaa vya maandalizi ya kufundishia na kujifunzia shuleni.

Aidha adha hii pia inasababisha shule nyingi kuwa na mrundikano wa madeni kwa wazabuni kwani baadhi ya shule hukopa vifaa na kushindwa kulipa kwa wakati kutokana na kutoingizwa fedha hizo kwa wakati!

Tume Jaribu kupigia simu Waziri wa Elimu Adolf Mkenda, kujaribu kujua tatizo ni nini , naye alijibu kuwa Tatizo liko TAMISEMI .

Prof Mkenda alishauri Tuwasiliane na Waziri wa TAMISEMI, Waziri Anjela Kairuki ambaye yuko likizo Nchini China, Kwa mume wake na simu yake haipatikani.

Hii imejenga sura mbaya kwa chama Tawala kushindwa kuhudumia watumishi wake kwa wakati.
HAYA AEK KATA YA SAZA TUMEKUSIKIA ULIBWETEKA NA POSHO NA WIZI, SASA UMEKUJA MTANDAONI KUINAGA SERIKALI INAYOKULIPA? SHAME ON YOU
 
Walimu walioenda marking form two na form four nao hawajalipwa mpaka leo
 
Acha blaa blaa zako hapa unafikiri kuendesha nchi Ni sawa na kuendesha familia yako? Kwani Ni mtumishi gani ambaye hajalipwa mshahara? Posho ya madaraka Ni watumishi wangapi wanaolipwa? Ungesema hawajalipwa mishahara hapo wenye akili wangekuelewa lakini kuzungumza habari za posho ya madaraka kuchelewa kulipwa unaonekana Kama kituko tu hapa jukwaani.

Wenye mioyo ya chuki na mnaosubiri serikali yetu ishindwe Basi Nawaambieni kuwa mtakuwa hamna tofauti na mafisi yanayosubili mkono wa Mwanadamu udondoke ili yaokote,Mtasubiri Sana na Wala Hilo halitatokea hata kidogo. Mtaombea Sana lakini hamtapata majibu ya maombi yenu na mwisho mtaishia kujikatieni Tamaa tu baada ya kuona hampati mnachokihitaji na kukitarajia.
Wewe hujui chochote. Serikali ilikuwa ikitoa posho ya madaraka kwa Walimu Wakuu, Wakuu wa SHULE, Maafisa Elimu Kata nk. kila mwezi.

Kwa akili yako fupi unaona ni sawa tu kutofanya hivyo.
 
Back
Top Bottom