Serikali ya China na Kanisa Katoliki

China wanabishana na the beast?
 
Sawa, lakini si umeona alichoandika kuhusu Pope? Similarly, mshauri ili wote tucheze fair play

Yeye kumkashifu Papa haihalalishi wewe kutukana dini za wengine,
Isitoshe wewe hauna uhakika kama yeye ni muumini wa dini ya Kiislamu.
Walutheri, Waanglikani, Wasabato na Walokole wanaweza kumtukana Papa vile vile japo ni Wakristo,
Hivyo kama hii kauli ungeitoa mbele za watu nje ya Keyboard tayari ungekuwa umeanzisha matatizo makubwa sana.
 
HUU UZI MUDA SIO MREFU UTAGEUKA ENEO LA MAPAMBANO YA KIDINI.AMA SIVYO UTAGEUKA JEHANAM YENYEWE
 
Kajinga sana haka katoto
 
Hii point ya kikubwa kabisa
 

Inajulikana Wazi Ndiyo Kanisa Linalomiliki Ardhi Kubwa Sana Duniani Yaani Eneo Lolote Unaloliona Hapa Tanzania Ni Mali Ya Baba Mtakatifu (Inalipiwa Kodi Zote Na Taratibu Zote Za Kumiliki Hufuatwa )
Akili nyingine hua unaweza jiuliza ilikuwa wapi akati inaandaa presentation!..
 
Pumba kabisa, watu wakikosaga cha kufanya huwa wanaandika maharage yaliyochacha
 
Hamna lolote Nyie mnamiliki ardhi yenu na Sisi tunamiliki ardhi yetu.hapa kila mwananchi anaardhi yake huwezi kusema kiwanja changu ni cha baba mtakatifu Wew usituzingue.
 
Eeeeeeeeh!!!
 
Una ushahidi?
 
mada za kidini kwa jina la intellijensia...
je, huu ni uthibitisho JF kuna upungufu wa watu wenye uwezo wa kujadili mambo ya kiintellijensia au jukwaa halina mwelekeo.
 
Utaona huyo mtoa mada ataanza kuandamwa na matusi kiukweli ardhi yoyote inayopimwa hapa Tanzania nia lazima waweke sehemu ya hawa wakatoliki. Na wenyewe hawapendi huu ushenzi wao wa kutawala nchi indirectly ijulikane kabisa ni siri sana. Na serikali haina lolote mbele ya hawa jamaa ni mkia kuufyata tu
 
Mimi sitaki kujikita kweny mjadala wa ardhi, mimi napenda kuchangia kidogo kuhusu ukatoliki ulivyo china, china wakati inafanya mapinduzi ilipiga vita dini za kigeni na ukatoliki ukiwemo, baada ya kuona ukatoliki ulikuwa umejijenga basi china ikautaifisha, iliutaifishaje? Iliutaifisha kwa kuanza kuandaa na kuwateua mapadri wale ambao serilikali inawataka baadaye kanisa la coathoric likaruhusiwa kufanya kazi tena, lakini wao wakakataa masharti ya kuteuliwa maaskofu na mapadri na serikali, kwahiyo zikatokea roman mbili, ile inayowajibika kwa papa na ile inayowajibika serikalini.....?roman ya serikali haiwatambui watumishi wa papa lakini cha ajabu hutokea romani ile inayowajibika roma huwateuwa mapadri wa roman ya serikali kuwa maaskofu...lakini huyo atayeteuliwa anaweza hata kuuwawa na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…