Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Mm nikiwa nasoma mada yoyote ile hua ubongo wangu nauweka kwenye free state mean that sina lolote kichwani kwenue mada hiyo hafu ndo naanza kusoma taratiiibu nikifuatilia neno kwa neno content kwa content then ndo naanza kuchambua mada hiyo..Akili nyingine hua unaweza jiuliza ilikuwa wapi akati inaandaa presentation!..
NB.Tunapokua tunasoma tuache ujuaji na ushabiki kwenye kuchangia then utajikuta umepata kitu.. Yawezekana mtoa mada ana point kashindwa jinsi ya kuiwakilisha
Thanks