Serikali ya China na Kanisa Katoliki

Serikali ya China na Kanisa Katoliki

Akili nyingine hua unaweza jiuliza ilikuwa wapi akati inaandaa presentation!..
Mm nikiwa nasoma mada yoyote ile hua ubongo wangu nauweka kwenye free state mean that sina lolote kichwani kwenue mada hiyo hafu ndo naanza kusoma taratiiibu nikifuatilia neno kwa neno content kwa content then ndo naanza kuchambua mada hiyo..
NB.Tunapokua tunasoma tuache ujuaji na ushabiki kwenye kuchangia then utajikuta umepata kitu.. Yawezekana mtoa mada ana point kashindwa jinsi ya kuiwakilisha
Thanks
 
Ni Kanisa Catholic Ambalo Lina Nguvu Kwa Kila Idara Zake Kuanzia Pande Mbalimbali Za Ulimwengu Huu.
Hii nakubaliana na ww mkuu
Inajulikana Wazi Ndiyo Kanisa Linalomiliki Ardhi Kubwa Sana
Hii yawezekana kweli maana kila sehemu kuna kanisa katoriki na parokia, parokia hua na sehemu kubwa kieneo popote pale lilipo ili kukidhi mahitaji yake jama kujenga kanisa,kujenga nyumba za mapadri&sisters,shule,etc
Duniani Yaani Eneo Lolote Unaloliona Hapa Tanzania Ni Mali Ya Baba Mtakatifu
Yawezekana kweli ila sijawahi sikia popote,je waweza kutupa Documents?
(Inalipiwa Kodi Zote Na Taratibu Zote Za Kumiliki Hufuatwa )
Aaanha kumbe inalipiwa?Wizara ganii inahusika?
Tunaomba utupatie risiti au Documents kusapoti mada yako
Huko China SaSa Kuna Vitu Ambavyo Siyo Mfutano Bali Huwa Kwa Taratibu Za Kanisa Catholic Baba Mtakatifu Ndiyo Mtu Pekee Anayechagua Viongozi Wakuu Wa Kanisa (Yaani Askofu ) Hawa Wanafanya Kazi Bila Kuwa Na Hofu Yoyote Maana Wanaripoti Kwa Baba Mtakatifu .
Hivyo ndivyo ilivyo duniani pote...
Sasa Nchini China Baba Mtakatifu Anachagua Viongozi Wa Kanisani Na Serikali Nayo Inachagua Viongozi Wa Kanisa Pia Wakitokea
Upande Wa Serikali Yaani Kulinda Maslahi Ya China

Ingawa Wote Wanafanya Kazi Pamoja Yaani Wote Ni Wakatoliki Baba Mtakatifu Hawatambui Hao Viongozi Wa Dini Toka Upande Wa Serikali
Naomba supporting documents kuhusiana na maneno hayo
Lengo Kuu La Serikali Ya China Kuteua Viongozi Wa Dini Ndani Ya Kanisa Ni Kulinda Maslahi Yake
Maslahi gani hayo mkuu tunaomba utupe hata matano
Maagizo Yote Toka Kwa Baba Mtakatifu Kamwe Hawapewi Hao Viongozi Wa Dini Wanaoteuliwa Na Serikali
Basi hao sio Mapadri wala Askofu ni majasusi...
 
Neno Allah ni Mungu kwa lugha ya kiarabu (Neutral Word),
Sasa hapa sijui hata unamkashifu nani sijui, maana miungu karibia wote wana mitume.
Tuwache hizi mambo mkuu, hazina faida yoyote.
Heshima yako...
Je wajua huyo mungu anayeitwa Allah na warabu historia yake? Ni nani?
Ndie huyu Mungu Wa Ibrahim, Isaac na yakobo?
 
Utaona huyo mtoa mada ataanza kuandamwa na matusi kiukweli ardhi yoyote inayopimwa hapa Tanzania nia lazima waweke sehemu ya hawa wakatoliki
mkuu waweza thibitisha hili uliloliandika? Naomba ushahidi
Na wenyewe hawapendi huu ushenzi wao wa kutawala nchi indirectly ijulikane kabisa ni siri sana. Na serikali haina lolote mbele ya hawa jamaa ni mkia kuufyata tu
Ushenzi upi huo?
Wanatawalaje nchi?
Kwanini hawataki Ijulikane?
Serikali ipi? Lolote lipi unalozungumzia?
Jamaa gani wanaofyata mkia!?
Ahsnte
 
Heshima yako...
Je wajua huyo mungu anayeitwa Allah na warabu historia yake? Ni nani?
Ndie huyu Mungu Wa Ibrahim, Isaac na yakobo?

Neno "Allah" limeanza kutumiwa na Waarabu, Wakristo na Wayahudi wa Mashariki ya kati hata kabla dini ya Uislamu haijazaliwa. Halafu neno Mungu ni Cheo (title) wala siyo jina la Mungu wa Ibrahimu. Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo jina lake anaitwa YAHWEH.

Ndiyo maana nasema siku ukitembelea Makanisa ya Kikristo ya Waarabu utasikia maneno mengi sana ambaya huenda huwa unayasikia kwenye adhana ile ya asubuhi. Hivyo "Allah" linaweza kutumika na Wagiriki kumaanisha miungu wao kama Zeus, Poseidon na Atlas. Au linaweza kutumiwa na Wazungu wa Ulaya Kaskazini kumaanisha miungu wao kama Europa, Czernobog na Odin. Au Watu wa Mashariki ya mbali wanaweza kutumia neno "Allah" kumaanisha miungu wao kama Vishnu, Raijin au Ganesh.

Hivyo neno mungu ni neutral,
Likitafsiriwa kwa kiarabu ni Allah.
Au wewe mwenzangu unaelewa tofauti ??
 
Inajulikana Wazi Ndiyo Kanisa Linalomiliki Ardhi Kubwa Sana Duniani Yaani Eneo Lolote Unaloliona Hapa Tanzania Ni Mali Ya Baba Mtakatifu (Inalipiwa Kodi Zote Na Taratibu Zote Za Kumiliki Hufuatwa )
HAPA NDIPO KWENYE UKAKASI.INA MAANA SEHEMU KUBWA YA ARDHI SIO MALI YA SERIKALI BALI YA KANISA??JE WAISLAMU WANAJENGA MISIKITI KWENYE ARDHI YA KANISA???
soma hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Chinese authorities demolish Christian church
shanxi-church-01092018.jpg

800.jpeg

Download Image


11 JANUARY 2018 • 4:55PM


Ahuge church purportedly built with almost £2 million raised from local worshippers in one of China’s poorest regions has been demolished by authorities, the latest flashpoint between religious groups and the officially atheist Communist Party.

The Golden Lampstand Church in the city of Linfen in the northern Shanxi province was destroyed with dynamite and heavy machinery, witnesses and overseas campaign groups said.

Chinese state media dismissed the demolition as part of routine removal of illegal buildings, but critics fear a more political motivation.
Kanisa ladhehebu ganiiiii
embu gusahii Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Neno "Allah" limeanza kutumiwa na Waarabu, Wakristo na Wayahudi wa Mashariki ya kati hata kabla dini ya Uislamu haijazaliwa. Halafu neno Mungu ni Cheo (title) wala siyo jina la Mungu wa Ibrahimu. Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo jina lake anaitwa YAHWEH.

Ndiyo maana nasema siku ukitembelea Makanisa ya Kikristo ya Waarabu utasikia maneno mengi sana ambaya huenda huwa unayasikia kwenye adhana ile ya asubuhi. Hivyo "Allah" linaweza kutumika na Wagiriki kumaanisha miungu wao kama Zeus, Poseidon na Atlas. Au linaweza kutumiwa na Wazungu wa Ulaya Kaskazini kumaanisha miungu wao kama Europa, Czernobog na Odin. Au Watu wa Mashariki ya mbali wanaweza kutumia neno "Allah" kumaanisha miungu wao kama Vishnu, Raijin au Ganesh.

Hivyo neno mungu ni neutral,
Likitafsiriwa kwa kiarabu ni Allah.
Au wewe mwenzangu unaelewa tofauti ??
Hapana
Allah sio kivumishi Mungu.
Allah ni jina kama ilivyo YAHWH.
Kwa Kiarabu neno Mungu ni illah na sio Allah.
Allah ni nomino na sio kivumishi. Ni kama ilivyo nomino YAHWH
Ni jina na sio sifa ya Umungu
God = illah = Mungu
Names YAHWH, or Allah, or NIKO AMBAYE NIKO.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAka ka chai ka leo, khaa, mpishi ameweka tangawizi nyingi sana, kamekua kachungu chungu hata radha kamepoteza, ngoja niende zangu nikapate gahawa kwa mnyamwezi wangu!
 
Yeah, ila hawajui tu hilo, na wala hamna haja ya kuwajulisha
kawaida kwa wenye akili wanafaham kua dunia ni tawala ya lucifer na mbinguni tawala ya mungu sina hoja kwa kua eneo lote la dunia anatawala shetan ambae yumo vatican aliehalallisha ndoa za jinsia moja pumbavu ww
 
Back
Top Bottom