jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Yeye kumkashifu Papa haihalalishi wewe kutukana dini za wengine,
Isitoshe wewe hauna uhakika kama yeye ni muumini wa dini ya Kiislamu.
Walutheri, Waanglikani, Wasabato na Walokole wanaweza kumtukana Papa vile vile japo ni Wakristo,
Hivyo kama hii kauli ungeitoa mbele za watu nje ya Keyboard tayari ungekuwa umeanzisha matatizo makubwa sana.
tena angeitoa mbele yangu sijui nini kingempata wallah
Sent from my iPhone using JamiiForums