Serikali ya DRC, kuomba michango ya kusaidia jeshi lake.

View attachment 3243025

Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa kulisaidia jeshi la serikali huko mwashariki mwa nchi, kutokana na alichokiita vita vya kukabiliana na uvamizi.
Seriously, DRC is a failed state
 
Mkuu mbona matangazo ya baadhi ya nchi za ulaya ikiwemo Belgium na jirani yetu 🇰🇪 kuwataka watu wao waondoke yameshamiri usalama upo?
Kaka/dada; nilisema hivi, hivi hita vimejaa unafiki mwingi sana, na mshindi ni mafia tu.
Siku ukiona nchi zinawaomba raia wake waondoke, ujue taarifa walizo nazo ni za uhakika asilimia 99.

Kingine, wanaokemea, wanakwambia Rwanda iondoe majeshi yake DRC, lakini ile kauli ya kwamba M23 iachie maeneo haipo tena.

Majuzi, walikuwa wakiuliwa wanajeshi wa FARDC, juzi, hata wa M23 wameanza kukinusa(kifo).

Hili goma zito. Walioleta wanajeshi wameanza kuwaondoa, sema tu mmoja anayejiona ana uwezo. Hajui Ana deal na mu Israel, ndo anamkaanga. Israel na USA, ni kama mke na mme wa jinsia moja. Hapo na wewe umeelewa.
 
Watu waache kudandia train kwa mbele sababu itaonekana wamegonga train hata kama watakuwa wao ndio wahanga
 
View attachment 3243025

Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa kulisaidia jeshi la serikali huko mwashariki mwa nchi, kutokana na alichokiita vita vya kukabiliana na uvamizi.
Hawa viongozi wao ni majinga sana acha tu hao m23 wachukue nchi..labda wacongo watakaa kwa amani na kufaidi rasilimali zao.

Si ajabu wanaomba michango huku wameshaikausha hazina kwa kwenda kuficha hela nje ya nchi maana wanajua anything can happen at any time from now..

Sina imani na viongozi wa congo..
Na Tanzania tupo sahihi kabisa kutowasaidia kijeshi kwa sasa.
 
Inawalipa wanajeshi wake mishahara ya $70 unategemeq washinde vita!
 
Back
Top Bottom