Kaka/dada; nilisema hivi, hivi hita vimejaa unafiki mwingi sana, na mshindi ni mafia tu.
Siku ukiona nchi zinawaomba raia wake waondoke, ujue taarifa walizo nazo ni za uhakika asilimia 99.
Kingine, wanaokemea, wanakwambia Rwanda iondoe majeshi yake DRC, lakini ile kauli ya kwamba M23 iachie maeneo haipo tena.
Majuzi, walikuwa wakiuliwa wanajeshi wa FARDC, juzi, hata wa M23 wameanza kukinusa(kifo).
Hili goma zito. Walioleta wanajeshi wameanza kuwaondoa, sema tu mmoja anayejiona ana uwezo. Hajui Ana deal na mu Israel, ndo anamkaanga. Israel na USA, ni kama mke na mme wa jinsia moja. Hapo na wewe umeelewa.