Serikali ya Iran yatoa wito wa mazungumzo na waandamanaji

Itafika tu, sababu Iran washasema hao wamepewa hela na Israel,Jana Trump kazungumzia hilo,labda safari hii watafanikiwa
Waandamanaji hawaandamani kupinga gharama za maisha bali pia
Raia wa Iran wanaandamana kupiga gharama za maisha nchini mwao wale si kulipwa pesa kama unavyodai wewe!!

Wananchi na raia wa nchi hiyo wanaipinga Serikali kwa kung’ang’ania kupigana na Israel na kufadhili makundi ya Kigaidi kama vile Hamas,Hezbollah,Houth na Islamic jihad Serikali inatumika pesa nyingi sana kufadhili magaidi hao badala ya kunufaisha Wananchi wake.

Wananchi hao wana hoji inakuwaje nchi yao kushughulikia miradi mikubwa ya kutengeneza makombola ya Masafa marefu yenye mabilioniiya pesa huku Wananchi wake wana shida ya chakula na maji?

Wanahoji pia kwa nini Iran imerusha setalite kwenda angani huko Russia inasemekana Setalaiti hiyo imetimia mapema mengi sana lakini Wananchi hao hawana hata uwezo wa mko mmoja!!!

Hayo ndiyo madai ya raia wa Iran!!!
 
We si huwa unabishabisha tu bila mantiki, taarifa zenyewe huna
 
Attachments

  • Screenshot_2026-01-01-00-37-34-073.jpg
    Screenshot_2026-01-01-00-37-34-073.jpg
    160 KB · Views: 17
  • Screenshot_2026-01-01-00-33-14-563.jpg
    Screenshot_2026-01-01-00-33-14-563.jpg
    145.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_2026-01-01-00-39-14-398.jpg
    Screenshot_2026-01-01-00-39-14-398.jpg
    110.5 KB · Views: 14
Mambo kama ndiyo yaliyofanya Wananchi wa Iran kuingia barabarani Walz si kuhongwa kama watawala wana hodari!!
 
Attachments

  • IMG_4710.jpeg
    IMG_4710.jpeg
    119.7 KB · Views: 18
Kwahiyo wakiaandamana kudai ugali wao ndio tayari wanageuka na kuwa wagalatia?
Sijui mnashabikia nini, hata hao kina ayatolah wakitolewa, Iran bado itabaki kuwa nchi ya kiislamu,
Nadhani mnajilisha upepo kuwa ayatolah akitolewa watajikomba kwa US au Israel
 
Wanaoandamana wanataka Ufalme
 
Kwahiyo wakiaandamana kudai ugali wao ndio tayari wanageuka na kuwa wagalatia?
Sijui mnashabikia nini, hata hao kina ayatolah wakitolewa, Iran bado itabaki kuwa nchi ya kiislamu,
Nadhani mnajilisha upepo kuwa ayatolah akitolewa watajikomba kwa US au Israel
UDINI ulivyokujaa kichwani umeanza kubwabwaja ovyo ovyo tu!! Wananchi wa Iran hawa Mtaki Ayatollah wako wao wanamtaka Mfalme Prince Reza Pahlavi hayo ya kulikomboa unayajua mwenyewe!!!!
 
Attachments

  • IMG_4704.jpeg
    IMG_4704.jpeg
    322.6 KB · Views: 17
Serikali inaona ufahari kujibishana na USA kila siku wakati wananchi wanaumia. Shouting death to America won't solve shit.
 
Wenzao wanatumia maarifa na akili kudeal mambo ya nchi yao wao wanaleta mihemko
Serikali inaona ufahari kujibishana na USA kila siku wakati wananchi wanaumia. Shouting death to America won't solve s
 
Back
Top Bottom