Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Walienda kufanyaje ktk nchi yenye kuchukiwa na waislam wote duniani?
Kazi , kama vile marekani imavyo chukiwa na nchi nyingi laki bado watu wanahamia huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walienda kufanyaje ktk nchi yenye kuchukiwa na waislam wote duniani?
Kilimo si wangalienda Norway au Findlay? Wameenda Israel inayochukiwa na waislam duniani kwa kuwaua waislam wa Palestina?
Pata supu ya kongoro mkuu, thank me laterMlipokua mnashambulia na kuanzisha ugomvi kwa rockets mbona hukuandika hizi nadharia, mlikua mnachekelea na kubwatuka alla akbar
Waende kuwaokoa wapi, wambie walipo mateka uone kama hawataenda kuwaokoa au wewe unafikiri wanapenda watu wao waendelee kuteseka kwa magaidi.Shida iliopo Hamas wanaowashkilia mateka na mamlaka ya Palestina chini ya Fatah hawaelewani.Mbaya zaidi mamlaka ya parestina yenye ubalozi hawana ubavu WA kuwaeleza chochote Hamasi.
Kinachonisikitisha,Hilo jeshi la Israel linaonekana kwenye makaratasi Lina makomandoo Bora Kwa Nini hawaendi kuwaokoa.
Hao hamas kwani wana balozi?Sawa
Ngoja tumuambie Balozi wao wawaachilie
Pole sanaMashabiki ya hamas ya madongokuinama na mchambawiwa yaliyoko zuzuland yaona fresh tu magaidi hayo yakiteka watu wasio na hatia wala ugomvi nao
Pole sanaMnaoendelea kushabikia ugaidi wa waarabu wa HAMAS kisa dini, mjue wanaendelea kushikilia Watanganyika (Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga) wasiohusiana na ugomvi wa Palestina.......................
Ukiingia kwenye uzombi wa dini unausahau undugu, uzalendo unakua kama msukule fulani ambaye unaweza kujilipua muda wowote.
The Israeli government has named Tanzanians Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga as among at least 240 people seized by Hamas fighters in their bloody October 7 raids on Israel.
The father of a Tanzanian national taken hostage by Hamas said Tuesday he is praying for a truce in Gaza as the family endures "sleepless nights" anxiously waiting for news.
![]()
'Sleepless nights' for family of Tanzanian Hamas hostage
The father of a Tanzanian national taken hostage by Hamas said Tuesday he is praying for a truce in Gaza as the family endures "sleepless nights" anxiously waiting for news.www.thecitizen.co.tz
WanayeHao hamas kwani wana balozi?
Ujinga ni mzigo pole sanaMlipokua mnashambulia na kuanzisha ugomvi kwa rockets mbona hukuandika hizi nadharia, mlikua mnachekelea na kubwatuka alla akbar
Pole sanaMuarabu asingekuja kubaka wazee wetu Pwani usingejua hiyo dini wala huo uislamu unaokusababisha utokwe na fahamu, kwanza hao waarabu huwaona kama mbwa licha ya shobo zenu kwao...
![]()
![]()
Sawa muombeni basi awambie hao hamas wawaachie hao vijanaWanaye
Hata wewe unaweza kwenda mbonaWalienda kufanyaje ktk nchi yenye kuchukiwa na waislam wote duniani?
na wapalestina wa sinza nao sijui watasemaje hahaaWapalestina wa Temeke Mikoroshini wanasemaje kuhusu hili?
Hakuna mwenye ubavu wa kuifuta HAMAS, ingekuwa kufutwa ingefutwa kitamboHaya magaidi ya kiarabu nikufutwa tu pale gaza
Hahaha mlijichagua wakristo watupu mkajipeleka acheni yawakuteIsrael hutoa Scholarship kwa vijana walio somea masuala ya kilimo na hata hao vijana ni miongoni mwa walio kuwa huko kwa program hiyo wewe kwa kua ni lizuzu upo upo tu hasara kwenye nchi ukiwa na kanzu yako apo barakashia yenye matobo tobo huna future yoyote una baki kuuliza tu swali lisilo na kichwa waka miguu
pathetic wahed 😏😏
wanaye wapi? Yule ni wa fatah ya kina abbas wanaotawala ukingo wa magharibi mto yordan.Wanaye
Pale mkristo anapowatetea ambao wao hata ukristo hawaujuiMashabiki ya hamas ya madongokuinama na mchambawiwa yaliyoko zuzuland yaona fresh tu magaidi hayo yakiteka watu wasio na hatia wala ugomvi nao