Serikali ya Israel yawataja majina ya Watanzania waliotekwa na Kundi la Hamas

Kilimo si wangalienda Norway au Findlay? Wameenda Israel inayochukiwa na waislam duniani kwa kuwaua waislam wa Palestina?

Unajuaje kama walikosa nafasi? scholarship hazipatikani kirahisi kama inavyodhani. Ni process ndefu sawa na kubet.
Wameenda israel kwa scholarship kusoma tu, suala la israel kuchukiwa hilo haliwahusu
 
Waende kuwaokoa wapi, wambie walipo mateka uone kama hawataenda kuwaokoa au wewe unafikiri wanapenda watu wao waendelee kuteseka kwa magaidi.

Unafahamu namna walivyo wakomboa watu wao Uganda mwaka 1976 au ulikuwa hujazaliwa, wewe hao Israel wasikie tu hivyo hivyo unafikiri ingekuwa ni jeshi la hivi hivi lingeingia Gaza si wangeomba tu wakae mezani waongee.
 
Pole sana
 
Muarabu asingekuja kubaka wazee wetu Pwani usingejua hiyo dini wala huo uislamu unaokusababisha utokwe na fahamu, kwanza hao waarabu huwaona kama mbwa licha ya shobo zenu kwao...




Pole sana
 
Hahaha mlijichagua wakristo watupu mkajipeleka acheni yawakute
 
Hao azam hawajalaani hilo tukio walilofanya hamas?
 
Mashabiki ya hamas ya madongokuinama na mchambawiwa yaliyoko zuzuland yaona fresh tu magaidi hayo yakiteka watu wasio na hatia wala ugomvi nao
Pale mkristo anapowatetea ambao wao hata ukristo hawaujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…