Very sad, tusiiache kuwa enlighten watu wajue walipo na inapotakiwa kuwepo.
Ally Kikwete anaandaliwa kumrithi Mabeyo
Ana cheo gani hivi sasa?Ally Kikwete anaandaliwa kumrithi Mabeyo
Wajaluo wana msemo "Something that goes around comes around" JPM alivyomfire Mwele Malecela kutoka NIMR kwa kashfa ya kutangaza uwepo wa homa ya Zica alafu akaitwa UN baadhi ya Watz walishangilia kuwa Mungu ameitumia UN kum-disapprove JPM.Wataamka lini mkuuβ¦wakati wako busy kushangilia Yesu kuuwawa na Baraba kuachiwa huruβ¦sasa hv Baraba ndio anashikilia usukani na watu wanashangalia..pathetic
Polepole was trying to help but shule imefungwa kwa uoga usiojulikanaβ¦anyway ngoja tuoneβ¦
#kataawahuni
Acha ujinga wewe!
Muache mama anafungua nchi!
Huenda tukapata IGP au CGP mwanamke lakini siyo CDF, "#womenempowerment"Ana cheo gani hivi sasa?
Kujiuzulu kwake kumemuokoa namba 3 kwasababu hatuna Spika ambaye angepokea jina pendekezwa ili kuidhinishwa na mjengo, kufa kufaana!Si Mheshimiwa Spika ameshajiuzulu jamani. Sasa wote wakiondoka tutaishije?
Hako pichani ni Job Ndugai?[emoji23][emoji23][emoji23]Habari!
Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu.
Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia.
Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha.
Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii FOUR seasons na kuizungukia hifadhi kwa umakini siku za off. Ni utajiri mtupu.
Ukianzia Tanga mpaka Mtwara kuna bahari, kuna maziwa , kuna hifadhi nyingi, kuna mapori mengi.
Tuna madini ya chuma, gesi, makaa ya mawe, ardhi inayosapoti kila aina ya mazao.
Kama zao hili halikubali Mbeya basi Morogoro linakubali, kama Lindi halikubali Njombe linakubali n.k, n.k
Sasa mpaka leo serikali imeshindwa kutoa mkopo kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu,
Serikali imeshindwa kutoa huduma za afya bure.
Serikali imeshindwa kuondoa nyumba za manyasi na udongo kwa kuboresha sekta ya kilimo na ufugaji.
Je, si wakati sasa serikalini kujiuzulu?
View attachment 2073871hii ni shule ya serikali jamani sio kilinge cha mganga wa kienyeji.
Wakati wananchi wakijenga shule,zahanati na kulipa kodi/tozo,CCM wanakula hadi wanatapika!Kuhusu shule hii Jamii husika nayo inabeba Lawama inafaa wakaazi wote wa hapo wachapwe viboko kuanzia wazee hadi watoto wanashindwa vipi kutumia udongo kufyatua tofali na vigae vya kuezekea wajenge shule bora kuliko hilo banda la mbuzi.
Hapa ndipo nilipompendea Mjerumani wote hao ni viboko ndani ya miezi mitatu shule ya kisasa imejengwa.
Ina maana hawaoni udongo,hawaoni kuni tele hakuna miti porini wakate mbao.
Tuache uzembe kujenga shule bora ya kisasa kwa kutumia nguvu hata milioni 20 haifiki unapata madarasa 20 kwa nguvu kazi.
View attachment 2073921
[emoji3516] daaah Sandali umetobotoa jipu!Habari!
Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu.
Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia.
Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha.
Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii FOUR seasons na kuizungukia hifadhi kwa umakini siku za off. Ni utajiri mtupu.
Ukianzia Tanga mpaka Mtwara kuna bahari, kuna maziwa , kuna hifadhi nyingi, kuna mapori mengi.
Tuna madini ya chuma, gesi, makaa ya mawe, ardhi inayosapoti kila aina ya mazao.
Kama zao hili halikubali Mbeya basi Morogoro linakubali, kama Lindi halikubali Njombe linakubali n.k, n.k
Sasa mpaka leo serikali imeshindwa kutoa mkopo kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu,
Serikali imeshindwa kutoa huduma za afya bure.
Serikali imeshindwa kuondoa nyumba za manyasi na udongo kwa kuboresha sekta ya kilimo na ufugaji.
Je, si wakati sasa serikalini kujiuzulu?
View attachment 2073871hii ni shule ya serikali jamani sio kilinge cha mganga wa kienyeji.
Kumbe!!!!!Rasilimali muhimu kwa nchi kupata maendeleo ni wananchi siyo madini au ardhi au hali ya hewa au chochote kingine. Ndiyo maana unaona kanchi kadogo kako jangwani kama Israel kana maendeleo makubwa. Watu wao ndiyo rasilimali kubwa. Kama nchi imejaa watu wajinga, wapumbavu, wavivu, wabinafsi haiwezi kupata maendeleo hata kama wamekalia au wamezungukwa na utajiri.
Mkuregenzi ananuliwa v8 la milioni 400 la kumpeleka kazini na kupeleka watoto wake shule ndio Kazi kubwa ya haya ma v8 Ili ailinde tu ccmWakati wananchi wakijenga shule,zahanati na kulipa kodi/tozo,CCM wanakula hadi wanatapika!
Inaumiza sanaMkuregenzi ananuliwa v8 la milioni 400 la kumpeleka kazini na kupeleka watoto wake shule ndio Kazi kubwa ya haya ma v8 Ili ailinde tu ccm
Tuna madini ya chuma, gesi, makaa ya mawe, ardhi inayosapoti kila aina ya mazao. Kama zao hili halikubali Mbeya basi Morogoro linakubali, kama Lindi halikubali Njombe linakubali n.k, n.kHabari!
Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu.
Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia.
Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha.
Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii FOUR seasons na kuizungukia hifadhi kwa umakini siku za off. Ni utajiri mtupu.
Ukianzia Tanga mpaka Mtwara kuna bahari, kuna maziwa, kuna hifadhi nyingi, kuna mapori mengi.
Tuna madini ya chuma, gesi, makaa ya mawe, ardhi inayosapoti kila aina ya mazao. Kama zao hili halikubali Mbeya basi Morogoro linakubali, kama Lindi halikubali Njombe linakubali n.k, n.k
Sasa mpaka leo serikali imeshindwa kutoa mkopo kwa wanafunzi wote wa chuo kikuu,
Serikali imeshindwa kutoa huduma za afya bure.
Serikali imeshindwa kuondoa nyumba za manyasi na udongo kwa kuboresha sekta ya kilimo na ufugaji.
Je, si wakati sasa serikalini kujiuzulu?
View attachment 2073871hii ni shule ya serikali jamani sio kilinge cha mganga wa kienyeji.
Speaker alitibiwa kwa Trilion mbili nchini IndiaAibu, nchi ina chuma , almasi, tanzanite, dhahabu, mlima Kilimanjaro, bandari, etc mazuzu wanawaza kukopa ili wajenge vyoo
Trilion mbili walikwenda kumnunulia roho mpya?Speaker alitibiwa kwa Trilion mbili nchini India
Na sasa hivi ni mbunge wa kawaida.Trilion mbili walikwenda kumnunulia roho mpya?
Si Bora angekufa tu tungemzika kwa million 100