Hahha buda una hasira sana. Failed state wanakopa. If you taka 34b÷35m, kila mkenya anakopa sh 971 kila siku. Or put it like this, kila mkenya anakopa coca cola 2 au pepsi 2 dailynimeshtuka kuona 34 billion nikadhani dollars au kenya shillings!! kumbe Tanzanian shillings😀😀😛pesa kama ya zimbabwe...unaenda sokoni kununua tissue tu ila mfuko umejaa manoti😵😵ebu kwanza tubadilishie kwenye KSH au dollars ndio tuelewe...currency za kipumbavu huwa hazitumiwi middle income economies..otherwise mimi hapa ningekuwa billionair sasa hivi😛😛
Sent using Jamii Forums mobile app