Serikali ya Kenya imekua ikikopa takribani Tsh. Billioni 34 kila siku kwa mwaka mzima wa 2017 pekee.

nimeshtuka kuona 34 billion nikadhani dollars au kenya shillings!! kumbe Tanzanian shillings😀😀😛pesa kama ya zimbabwe...unaenda sokoni kununua tissue tu ila mfuko umejaa manoti😵😵ebu kwanza tubadilishie kwenye KSH au dollars ndio tuelewe...currency za kipumbavu huwa hazitumiwi middle income economies..otherwise mimi hapa ningekuwa billionair sasa hivi😛😛
Hahha buda una hasira sana. Failed state wanakopa. If you taka 34b÷35m, kila mkenya anakopa sh 971 kila siku. Or put it like this, kila mkenya anakopa coca cola 2 au pepsi 2 daily

Sent using Jamii Forums mobile app
 
500 ya kenya mtu hawezi kula na kushiba wakati Tanzania hiyo ni kuku Mzima na mchele super kilo 1 na change ipo ya kutosha
Unamaanisha Kenya ipi? Eti 500Kshs mtu hawezi shiba? [emoji1] Dah umekaririshwa zaidi ya wanakwaya!
 
Unamaanisha Kenya ipi? Eti 500Kshs mtu hawezi shiba? [emoji1] Dah mekaririshwa zaidi ya wanakwaya!
That's true bila unazi wa mitandaoni hilo hata we binafsi unalijua namna maisha yanavyokunyuka hapo Kenya

Most of the Kenyans when they step in Tanzania wanashangaa namna life la Tanzania lilivyo cheap am talking about essential things then hapo ndo unaweza kuona namna pesa yenu isivyo na thamani

Hata kama 500 yenu huku ni elfu 10 lakini tofauti yake kwenye manunuzi Kenya na Tanzania ni kubwa mno.

Mathalan hiyo ni kodi ya decent ghetto kabisa in our towns per month
 
That's true bila unazi wa mitandaoni hilo hata we binafsi unalijua namna maisha yanavyokunyuka hapo Kenya

Most of the Kenyans when they step in Tanzania wanashangaa namna life la Tanzania lilivyo cheap am talking about essential things then hapo ndo unaweza kuona namna pesa yenu isivyo na thamani

Hata kama 500 yenu huku ni elfu 10 lakini tofauti yake kwenye manunuzi Kenya na Tanzania ni kubwa mno.

Mathalan hiyo ni kodi ya decent ghetto kabisa
Eti 500kshs Kenya mtu hawezi shiba nilidhani ni typo na ulimaanisha 50, ata hiyo mtu anashiba. [emoji1] Acha kujiabisha, tembea uache kuhadithiwa.
 
Kuna ufukara wa kutupwa Kenya hiyo pesa ni chakula cha nguruwe sio cha binadamu wa kawaida.
 
Kwahivyo mbeleni ulivokuwa unasifia Tz eti vyakula ni vya bei rahisi ulikuwa unaongea kuhusu chakula cha nguruwe? Naaam! Nimekuelewa. 😎
 
Hiyo itakuwa sim au uchafu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeulizwa swali tafadhali toa jibu, GDP us Nigeria ni seven times of that of Kenya but Naira is four times less than Kenyan shillings, which is which?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ufukara wa kutupwa Kenya hiyo pesa ni chakula cha nguruwe sio cha binadamu wa kawaida.
Hilarious comments here and I didn't know that Tz had set a deadline for attaining a middle income status by 2025. Nilijua Tanzania kina joto wanaumia njaa.

" Hakuna cha uchumi wa kati hapa kwanza GDP ya Tanzania majanga, chakula watu hawana ni mlo mmoja, na kusema kweli elimu imeshuka sana sana"

" Huwa nashangaa kusikia tibisi wanasema kuna viwanda 3306 nchi nzima huwa nashangaa sana. Jumapili iliyopita nilishangaa ripoti ya ccm ya dodoma wanasema wameshajenga viwanda sasa cha kusikitisha wanaonyesha jumba linalofanania administration block eti kiwanda; hakuna njia ya umeme, barabara hakuna, juu ya jumba hata zile feni hazina, mabati hata ya transparency nalo halionekani. Alafu eti Binilith Mahenge anasema ni kiwanda yaani nilikuwa nacheka sana alafu kiwanda kimoja hicho sasa nashangaa Jaffo alitoa agizo kila mkoa utengeneze viwanda 100. Simiyo huwa naonaga ni karakana ya kutengeneza chaki tu
Bado vituo vya afya na zahanati ni shida dodoma, umeme ndo usiseme"
Kuelekea deadline tuliyojiwekea kwamba kufikia 2025 Tanzania iwe ya uchumi wa kati, matokeo na mwenendo vinaridhisha? - JamiiForums
 
Give him the credit from where you copied this rubbish
 
Back
Top Bottom